BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,210
- 9,863
Kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete nilitembea sana na nikafika nchi niliyokuwa na hamu nayo sana kufika ili nijionee ukweli wa hali halisi, Colombia.
Nilifika Bogota nilikaa siku 14 baadae nikaenda miji ya Cartagena na Medellin, aisee zile muvi za kihuni za Marekani nilifikiri ni uongo, kumbe ndio maisha halisi ya miji ya Colombia.
Ila kuna wanawake wazuri sana aisee kule Latin America, unakuta mzungu ana matako kama mwafrika acha acha kabisa.
Brazil wahuni ni wengi mno, ukiongea english ni kama unajichongea wanajua unatoka Marekani utaandamwa na kuviziwa kila mahali.
Ila kule Marekani ni kama bwana wao, hawajui chochote zaidi ya Marekani magari yao mengi yanatoka Marekani, unapishana na gari kumi unaona toyota moja.
Nilichokipenda ni starehe, kama unapenda mademu kula unakufa haraka sana, ni wazuri, wazuri, wazuri mno.
Nitarudi tena Bogota