tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  2. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  3. JamiiForums Tanzania Simba msitafute kocha mpya kipindi hiki, mtakurupuka tena.

    Hakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya kuzinyanganya timu bara wachezaji na makocha wao bora kabla ya mwisho wa msimu. Hamna haja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa Ukraine wakimbia usajili katika jeshi na hawakamitiki tena

    Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu. Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova, Poland na Hungary. Baada kuona wakipita...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

    Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu, Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Mwamba kimemkuta nini tena?

  7. JamiiForums Tanzania Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

    Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka. Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo Uchunguzi...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Kimemkuta nini tena huyu mwanamke?

  9. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

    PONGEZI 12 KWA MHE. RAIS SAMIA Na Amon Nguma . Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE . Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Hamas mbona hawaonekani tena Gaza? Wameuawa? Wamekimbia? Wamejificha?

    Waziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa kiHamas ataachwa salama. Jeshi la Israeli kwa sasa liko katika viunga vya mitaa yote ya jiji la...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga agoma kustaafu, asema kugombea tena 2027

    KIONGOZI wa Chama cha Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amefichua kuwa bado hajajiandaa kujiondoa katika ulingo wa kisiasa na kwamba hatostaafu. Raila mwenye umri wa miaka 78 alidokeza kujaribu bahati yake katika kiti cha urais kwa mara ya sita katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. "Siko tayari...
  12. JamiiForums Tanzania Nilichogundua: Ukipata Pesa unaanza kuwa mkimya sana na hupendi tena kelele. Pesa nayo ni nishati

    Wakuu, baada ya tafakuri za kuyatazama Maisha since when I was broke mpaka muda huu nimegundua ukiwa na uhakika wa Maisha ya kila siku na unapata ushindi mdogo na mkubwa katika mzunguko wa Maisha unajikuta nguvu ya kuongea sana inapungua unakuwa msikilizaji sana. Ina maana ile nguvu ya kuongea...
  13. JamiiForums Tanzania Upendo wa kweli kwa Wanawake umeondoka haupo tena

    Hili jambo nimelithibitisha kwa watu wengi walio katika mahusiano hasa yale yakuanza na NDOA kisha ndio waishi pamoja. Sisemi mahari ni nzuri au mbaya ila Mahari ni kipimo kikubwa sana kilichonifanya nije na huu uzi. Nimeuliza wanawake zaidi ya 10 swali 1 ambalo ni Je, Mpenzi wako akikosa...
  14. JamiiForums Tanzania CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

    Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Macron aitaka Israel iache kuuwa vichanga.Raisi wa Iran ajisemea mwenyewe vitendo vinahitajika sio maneno matupu tena.

    Meneja wa Alshifa hospital jana alisema ni zamu ya vita vya kupiga hospitali.Na kweli vita vya Israel kwa hospitali vimeendelea na kuonesha ukatili ambao wote walioona wametishika. Madaktari wa hospitali hizo wameonekana wakikimbia na vitoto njiti kwenye mashine za kuokolea maisha huku wengine...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sayyed Nasrallah kuongea tena kesho

    Kesho HISBULLAH wanapanga kuingia ndani ya Telaviv Sayyed Nasrallah Speaks Saturday (Nov. 11) on Hezbollah Martyr’s Day 4 days ago November 6, 2023 Hezbollah S.G. Sayyed Hasan Nasrallah (photo from archive). Hezbollah Secretary General Sayyed Hasan Nasrallah is to deliver a speech on...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

    Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa. Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
  19. JamiiForums Tanzania Mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi wa Simba?

    Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa? Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na...
  20. JamiiForums Tanzania Kagera: Nyota ya Paul Makonda imewaka tena, apokelewa kwa kishindo Bukoba

    Mbegu bora ikipanda lazima iote. Na Mbegu ili iote, inakufa kwanza kisha inachipua na kukua na Kuzaa matunda. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Mbegu ambayo imeota, sasa CCM wanajiandaa kula Matunda yake 2025. Kwa ziara yake Bukoba, ni dhahiri Makonda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…