tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

    1. Timu yetu ya Simba imecheza vizuri sana kilichotugharimu ni sub, kiukwel hatuna wachezaji wazuri wa sub ndio maana kipindi cha pili sikushangaa kuona Yanga wakipata bao la pili 2. Yussuf Kagoma ni mchezaji mzuri sana lakini Simba isimtegemee sana kwa sababu pancha nyingi sana 3. Kocha wetu...
  2. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Camara ni Golikipa mzuri tena sana ila Kujiamini kwake kunatuponza

    Golikipa mzuri anajua kudaka kiwango chake ni cha juu sana footwork yake pia ni nzuri ishot ni aina ya golikipa wa kisasa ila tatizo la golikipa wetu hakubali kwamba sio kila mpira unaomjia ni wa kuhangaika nao. Shuti kama lile lilikuwa na haja gani ya kukomaa nalo kulirudisha uwanjani? Kwann...
  3. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mkopo elimu ya juu mwaka ujao nilipe tena?

    Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'. Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza. Tarehe 4/09 nililipa...
  4. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Kafara ya imegoma tena. Ni huzuni kubwa

    Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1. Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji. Usiku mwema. ====== Updates: Jini limeamua mchezo.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Je inaruhusiwa kisheria kurebrand product na kuiuza tena

    Habari zenu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Roho inaniuma WIRE TURN haifanyi kazi tena

    Yani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah! Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia bure YouTube, JF na Instagram tangu 2021.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

    Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia. Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....

    Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu Basi me nikapita nikaenda zangu...
  9. Judah Tribe

    JamiiForums Tanzania Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Narudi zangu kijijini, maisha ya mjini siyataki tena

    Nimeamua nikazeekee kijijini kwa sababu zifuatazo:- Kule kijijini nitapata hewa safi isiyokuwa na mchafuko Kule kijijini nitapata majirani wema wasiokuwa na choyo Kule kijijini tutakuwa tunatembeleana bila chuki Kule kijijini tutakuwa tunakunywa togwa pamoja Kule kijijini tutapunguza msongo wa...
  11. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi yapi anatakiwa Kuya fanya Kati ya kumuacha moja kwa moja au kurudiana nae Tena?

    Habari wakuu, Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda kombo. Jamaa aliepoteza karibu Kila kitu wakawa chakarii. Mwaka Jana mwezi wa tisa aliamua...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeuza nyumba, niliyemuuzia hataki kunimalizia fedha yangu mwezi wa nne huu, nikiuza tena kuna kosa?

    Wakuu, nilitangaza kuuza nyumba yangu na nikaletewa na dalali mteja. Mteja huyo akaomba kulipia nyumba hiyo kwa installment mara tatu. Awamu ya kwanza ilikuwa tarehe 23/12/2023. Awamu ya pili ilikuwa iwe mwezi wa tatu lakini alichelewa akanilipa mwezi wa tano. Na malipo ya mwisho alitakiwa...
  13. Mpenda vurugu

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

    Imetokea mbeya asubuhi hii Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sawa mnapoamua kukataa ndoa na ku-embrace u-bachelor basi msianze tena kusumbua wake za watu bakieni na mishenitauni wenzenu

    Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie. Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini. Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ajali tena Ubungo

    Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu daresalam ✍️ Awakomi
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

    Usijisumbue kwenda Kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu. Matajiri...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa mwaka 1990 mnazeeka ujue nyie sio watoto tena

    Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
  18. Championship

    JamiiForums Tanzania IDF inakaribia kuandaa tangazo kwamba Iran haitaweza tena kufadhili ugaidi kwa miaka 200 ijayo

    Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years" Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran. Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Makomando wa Israel huwa ndani ya Lebanon, tena ndani haswa

    Idadi kubwa ya makomando wa Israel huishi Lebanon ndani na hamna wasichokijua au kukifanya humo tena kimya kimya.....ndio hutoa taarifa za wapi pa kupiga, husaidia sana kwenye mapigo dhidi ya magaidi wa waislamu. ================= The New York Times says that Israel has worked since the...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pengine kuna siku tutakutana na wapendwa wetu tena

    Kuna siri kubwa sana kwenye kifo.. Kifo ni fumbo lisilo na majibu mpaka leo hii M'miss mtu aliye hai lakini yuko mbali nawe! Huyu mnaweza kuja kuonana lakini sio mfu.. Ambapo kwa baadhi ya imani tutakuja kuonana nao huko huu mbinguni siku ya kiama..tena si katika mwili huu wa damu tena! Hakuna...
Back
Top Bottom