MFUNGWA Emmanuel Magede aliyehukumiwa kifungo cha miaka 10 kwa kumbaka mtoto mdogo amekutwa na hatia ya kumbaka mfungwa mwenzake aliyekuwa anaoga wakiwa gerezani.
Mwendesha mashtaka, Loveit Muringwa alithibitisha kuwa Julai 23, 2025, Magede alitenda kosa hilo kwa mfungwa mwenzake wakati...