temeke

Temeke District is a district in southern Dar es Salaam, Tanzania, with Kinondoni to the far north of the city, and Ilala in the downtown of Dar es Salaam. To the east is the Indian Ocean and to the south and west is the coastal region of Tanzania. The 2002 Tanzania National Census reported that the population of Temeke District was 768,451. The area is 786.5 km².

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tanesco, wilaya ya Temeke hakuna Umeme Hali mbaya Sana.

    Taarifa Tangu siku ya Jana mnakata Umeme tu Huku Temeke Hali ya hewa ni joto Kali watu mnawakatia umeme hata Taarifa hamtoi Tena mnakata siku nzima . Kazi zinazohitaji Umeme zipo nyingi Sana , je? Mnataka watu waishije ikiwa mnakata Umeme siku nzima na hamtoi Taarifa je mnatoa mgao ? Na huu ni...
  2. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi haongei lakini anachukizwa, Serikali wilaya ya Temeke ijitathmini

    Mkandarasi anayejenga Barabara ya mabus ya mwendokasi MBAGALA na hakika anachukizwa mno na adha anazokutana nazo SITE, haswa kipande cha ZAKHEIM - RANGI TATU. Serikali wilaya ya Temeke imebaki inaangalia tu. Ni kweli WANANCHI wa MBAGALA wanajipatia riziki katika mihangaiko yao ya kila siku pale...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Temeke

    Habari, guest/ lodge gani nzuri ambayo ipo karibu na stand ya mabasi ya Temeke? Iwe na kipupwe isizidi buku 40
  4. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Shule ya Temeke secondary naomba Serikali imulike macho umalaya umezidi

    Hii shule ya Temeke secondary %kubwa ya wanafunzi wa kike wanafanya umalaya mkubwa . Na vijana wa kiume wanavuta bangi .Sana.
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu yapamba moto, apangiwa kuhutubia taifa jukwaani siku hiyo hiyo Temeke

    Taarifa ikufikie kwamba Maandalizi ya Mapokezi kabambe ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yamekamilika, ambako wanachama wa CHADEMA na wapiga kura wake waliomchagua kwa kishindo 2020 kabla ya Sarakasi za Dr. Mahera, wametakiwa kujipanga kuanzia uwanja wa ndege hadi Temeke. Habari...
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Service Levy ya halmashauri ya jiji Temeke sasa ni kodi ya ujenzi wa madarasa na barabara

    Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga! Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Interns wa Hospitali ya Temeke walia njaa

    Wanabodi, hii ndio taarifa kubwa katika viunga vya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Temeke, takribani unaenda mwezi wa tatu sasa vijana wa intern (nurses, doctors, lab, pharmacist), hawajalipwa posho yao ya kila mwezi kwa mujibu wa mkataba. Hali hii imezua sintofahamu kubwa huku vijana hawa...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Polisi Temeke imarisheni ulinzi muda huu katika tamasha la Vuka na Chako kwani walioshindwa kuingia Wanaporwa na Vibaka

    Mbele ya Msikiti unaotizamana na Petro Station iliyo Jirani na Mgulani Barracks kuna Vibaka hapo na wakipora wanakimbilia kule Makaburini. Kwingineko ni huku kama unakuja ilipokuwa TCC kuelekea Kona ya Keko kuna Kipande hapo kina Giza Watu Wanaporwa. Tafadhali kwakuwa Uwanja umejaa mpaka...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Rais Dkt. Samia ameidhinisha Bilioni 4 kujenga madarasa 207 Wilaya ya Temeke

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, leo Desemba 13, 2022 ameendelea na ziara ya ukaguzi Maendeleo ya Ujenzi wa vyumba vya madarasa Mkoa huo ambapo ilikuwa zamu ya Wilaya ya Temeke, ameelekeza Halmashauri hiyo kuhakikisha madarasa yanakamilika kabla ya Desemba 30, 2022. RC Makalla...
  11. N

    JamiiForums Tanzania TARURA Temeke, matengenezo ya kipande cha barabara Kibonde Maji si yakuridhisha

    Kuna kipande cha barabara Kibonde Maji, ambacho inasemekana linapita bomba la mafuta la TAZAMA kwenda ZAMBIA. Tulifurahi tulipoona wanaweka kifusi kwa ajili ya kuziba barabara ilivyoharibika. Mara nyingine huwa nawaza kuwa Tanzania kuna mainjinia waliosoma kweli, hasa baada ya kuona mwisho wa...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya umeridhika kuona watoto wanakufa kwa kushindwa kuweka alama za pundamilia katika barabara ya Temeke-Tandika-Raha Leo?

    Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo? Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara kwa mara. Je, mmeshindwa kuweka Zebra crossing au hata matuta? The entire leadership of Temeke and...
  13. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania ACP Kungu Malulu kazi yako ya kutukuka hapo Temeke tumeiona na tunakushukuru

    Nakumbuka niliwaambia watu kitendo cha ACP Kungu Malulu kuteuliwa kuwa Mkuu wa Polisi Temeke hao watoto zenu wanaojiita Panya Road muwakanye huku mtaani kuna watu walinidhihaki. Sasa kamanda Kungu Malulu ambaye alikuwa Kamanda wa Kipolisi Kanda Maalum ya Rufiji, ameanza kazi rasmi na ndani ya...
  14. Kelp B

    JamiiForums Tanzania Panya road 100 wakamatwa Temeke

    Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu Source: #EastAfricaRadio MY...
  15. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Temeke imeanzisha tozo mpya za taka

    Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo Mbande Chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji nimeisoma yote nikaanza kumuuliza maswali kuhusu hizi tozo mpya za taka. Maswali niliyomuuliza alishindwa...
  16. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Umilikishaji wa hati kuwa inua wananchi wa Temeke kiuchumi

    Na. Mwandishi wetu, Dar Kamishina Msaidizi wa ardhi kanda ya Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesema serikali imesisitza kuwa lengo kuu la umilikishaji hati miliki za ardhi litafanya kila kitu kuwa na uhakika wa usalama wa umiliki wa ardhi na hivyo kuwainua wananchi kiuchumi Kwa kuwa hati...
  17. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Umilikishaji wa hati kuwainua wananchi wa Temeke kiuchumi

    Na. Mwandishi wetu, Dar Kamishina Msaidizi wa ardhi kanda ya Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesema serikali imesisitza kuwa lengo kuu la umilikishaji hati miliki za ardhi litafanya kila kitu kuwa na uhakika wa usalama wa umiliki wa ardhi na hivyo kuwainua wananchi kiuchumi Kwa kuwa hati...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa aliyepata majina ya Sensa wilaya ya Temeke

    Habarini wakubwa! Kuna aliyepata/ ona majina ya waliochaguliwa kwenda kwenye semina wilaya ya temeke? Maana naoma majina yametoka kwa wilaya nyingi ila ya temeke sijayaona.
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndoa 365 zimevunjika Temeke (Dar es Salaam) tangu mwaka 2021

    Zaidi ya ndoa 365 zimevunjika katika Manispaa ya Temeke katika kipindi cha kuanzia mwaka 2021 hadi Julai 2022. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Temeke, Lilian Mafole na kusema chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hizo ni mifarakano, wivu wa mapenzi na kipato duni. Afisa Ustawi amesema kutokana na...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri sana mkuu wa wilaya ya Temeke

    Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana Pascal Mayalla aone...
Back
Top Bottom