Temeke District is a district in southern Dar es Salaam, Tanzania, with Kinondoni to the far north of the city, and Ilala in the downtown of Dar es Salaam. To the east is the Indian Ocean and to the south and west is the coastal region of Tanzania. The 2002 Tanzania National Census reported that the population of Temeke District was 768,451. The area is 786.5 km².
MKUU WA WILAYA TEMEKE AKABIDHIWA MADARASA 157 YA SHULE ZA SEKONDARI
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameshiriki katika hafla ya makabidhiano ya Madarasa mapya 157 yaliyojengwa katika Shule 24 za Sekondari iliyofanyika leo Januari 03, 2022 katika Shule mpya ya Sekondari Dovya...
Naandika haya nikiwa napita jirani kabisa na uwanja wa Uhuru (Uwanja wa Taifa), naona vikosi vya ulinzi na usalama vikijtaarisha kuanza mazoezi ya gwaride na mambo mengine, vijana wa halaiki nao hawajaachwa nyuma, naona kundi kubwa linaingia.
Ama kwa hakika kwa maataarisho haya, tutegemee...
Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja.
Niko Dar es Salaam, Mbagala.
Nipo Temeke hapa Maeneo ya Tandika Makaburuni, dumu la maji ni 50 na umeme ni 24/7
Naomba serikali watoe magari yao waje huku wajaze maji na wawasambazie ndugu zetu wa huko pembezoni na mji.
Hapa Temeke visima vipo vingi sana maji ni 24/7
WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Temeke, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi kubwa na nzuri...
MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA
Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
DC JOKATE: AKAGUA MIUNDOMBINU YA MASOKO WILAYANI TEMEKE
Mkuu wa Wilaya ya Temeke
Mhe. Jokate Mwegelo amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu katika maeneo ya masoko waliyohamishiwa wafanyabiashara Wadogo maarufu Machinga, leo Novemba 10,2021 huku akiambatana na baadhi ya viongozi na wakuu wa...
DC JOKATE: MIKOPO KWA WAMACHINGA
"Kuhusu Machinga tunashukuru tumeendelea kushirikiana vizuri na Viongozi wetu wakaeleza maeneo fulanifulani ambao walikuwa wanahitaji tuangalie kwa jicho la tatu, zoezi linaenda vizuri tumefufua masoko ambayo yalikufa"
"Tumeielekeza Manispaa kwamba walioingia...
Kwa miaka sasa wakazi wa Charambe Mbagala maji tunayopewa na Dawasa ni hatari kwa matumizi kwani yana kemikali.
Maji haya yenye rangi ukifulia nguo nyeusi huacha rangi nyeupe kwenye nguo yakaukapo, na ukiyamwaga kwenye mchanga huchukua muda mrefu sana kukauka na yakikauka huacha rangi ya njano...
Habarini wapendwa nina wazo kwa wale vijana wenye nia ya kuthubutu na wenye mawazo au biashara au wamejiajiri tukutane na tuunde kikundi.
Lengo la kikundi kwenda kupata Mkopo wa Halmashauri.
Yawezekana kila mtu akawa na biashara yake au ya pamoja ila kama kila mwanakikundi atakuwa na biashara...
WILAYA YA TEMEKE YATENGEWA ZAIDI YA TSH BILIONI 4 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO,SHUKRANI KWA RAIS SAMIA - DC TMK MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo kwa niaba ya Uongozi wa Wilaya ya Temeke ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
Ni habari ya kusikitisha mpaka nyakati izi bado utekelezaji WA mambo mbali mbali KATIKA ngazi za serikali yanahusisha ujamaa na sio mifumo IMara.
Habari iliyopo ni kwamba manispaa ya Temeke bado hawaoni umuhimu wa maagizo ya wanasiasa kwenye utendaji wao si Kwa uadilifu walio nao ivyo pengine...
"TUSHIRIKIANE KUIPAMBA TEMEKE" DC JOKATE.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo leo Septemba 20,2021 amefanya kikao na viongozi wa machinga wilaya ya Temeke,watendaji wa mitaa, kata na kamati ya ulinzi na usalama kuangazia suala zima la uhamishwaji wa wafanyabiashara ndogo...
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
Ascerics LTD ni Kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa katika zoezi zima la kukusanya Ushuru wa maegesho nchini Tanzania. Ili kuboresha huduma zetu za maegesho (Parking services ) kwa system mpya ya E-parking katika Jiji la Dar-es-Salaam.
Kanda no 2 ambao tunasimamia Ilala, Temeke, na...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.