tembo

Tikki Tikki Tembo is a 1968 picture book written by Arlene Mosel and illustrated by Blair Lent. The book tells the story of a Chinese boy with a long name who fell into a well. It is a sort of origin myth about why Chinese names are so short today. The book is controversial because it appears to retell a Japanese story and because it does not portray Chinese culture accurately.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tembo waua sita, wajeruhi saba katika kipindi cha miaka miwili

    WANANCHI Sita wameuawa na wengine saba kujeruhiwa vibaya kwa kushambuliwa na Tembo katika Kijiji Cha Makuyuni wilaya ya Monduli ,Mkoani Arusha katika kipindi cha miaka miwili na kusababisha wakazi wa Kijiji hicho kuishi kwa hofu. Aidha Tembo hao wanadaiwa kuvamia pia mashamba ya wananchi hao na...
  2. JamiiForums Tanzania Tembo asaka tiba baada ya kupigwa risasi na majangili

    Tembo mmoja huko Zimbabwe ameacha watu midomo wazi baada ya kutafuta madaktari wa wanyama pori wamtibu kufuatia jeraha alilopata kichwani kwa kupigwa risasi na majangili. Majangili walimpiga risasi tembo huyo wakitaka kumuua ili wang'oe meno yake wakauze. Lakini tembo huyo alinusurika na...
  3. JamiiForums Tanzania Kijazi: Msidanganywe, Maini na Mafuta ya Tembo sio dawa ya Kansa ya ini wala Kansa ya Uzazi

    Salaam Wakuu, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi amawaeleza Wahariri na Waandishi wa habari Wandamizi zaidi ya 50 waliokutana Dodoma leo tarehe 10 Dec 2020 kwamba, kuna ujangiri mpya wa tembo umeibuka upya. Kijazi amesema kwamba Majangili Wamebuni mbinu mpya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Waswahili walisema "usiige kunya kwa tembo!" Kinachonikuta Sasa!

    Si ulishasikia ile kauli ya jino kwa jino..? Sasa nikajaribu kuifata! Kumbe sikujua mwenzangu anameno mimi namapengo! Aliponiblock nami si tu ya kwamba nikamblock bali nilimubuloku!.. haikuisha hapo aliacha kunitafuta nami si tu nikaacha kumtafuta bali nilimfuta kabisa!.. mambo ya jino kwa jino...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuandaa ndizi aina ya Mkono wa Tembo

    Nimekata hizi ndizi kubwa kubwa Sana, hapa kwetu zinaitwa mkono wa tembo, sijawahi kuzila hata siku moja. Naomba wataalamu wabobezi wa Aina mbalimbali ya kuziandaa ndizi hizi kwa ajili ya kula mnielimishe namna ya kuziandaa. Nimetumia neno kuandaa kwa sababu Kuna Aina mbalimbali ya kuzipika...
  6. JamiiForums Tanzania Ivi Hawa Majirani Zetu wa Jangwani Wamekosa hata Mtu wa Kuwashauri kwenye Mavazi? Kweli kumuiga Simba SC bila hela ni kushindana na Tembo Kunya Boga

    Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba? Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi. Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Tembo Botswana wanakufa, Je, Tembo wetu Tanzania wapo salama?

    Hundreds of elephants found dead in Botswana Credit: Mystery as hundreds of elephants found dead Mystery surrounds the "completely unprecedented" deaths of hundreds of elephants in Botswana over the last two months. Dr Niall McCann said colleagues in the southern African country had...
  8. JamiiForums Tanzania Morogoro: Tembo waharibu zaidi ya hekari 700

    Kijiji cha Msongozi kata ya Msongozi wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro kimeharibiwa mazao kwa takribani hekari 700 Wananchi katika maeneo hayo ambao wako karibu na mbuga ya Mikumi wameomba serikali iwasaidie kwa kuwa tembo hao wameshindwa kuswagwa kurudi mbugani Joseph Chuwa, Afisa wanyama...
  9. JamiiForums Tanzania Liparamba: Pori lenye simba weupe na tembo ‘wakimbizi’

    PORI la Akiba la Liparamba linalopita katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, limejaaliwa kuwa na vivutio ambavyo havipatikani katika hifadhi nyingine nchini. Liparamba ni hifadhi iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji ambayo ina wanyama aina ya tembo ambao ni wakimbizi ikiwa na maana kwamba...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuuze tembo halafu tununue matrekta

    Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…