telegram

  1. E

    Je nini sababu haswa ya mtandao wa Twitter / 𝕏 na telegram kufungiwa Tanzania?

    Mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania week hii wadau kwanini serekali inafanya hivi au ndio wanataka censorship? Hii imeleta picha kuwa Tz is against free speech
  2. 650

    Mbona Telegram haifunguki?

    Wakuu habar za muda huu? Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki. Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi? Ningependa kujua
  3. J

    CEO wa Telegram ana watoto zaidi ya 100 ana miaka 39

    Durov CEO wa Mtandao wa Telegram Alikamatwa na kunaripotiwa kuhusiana na kutodhibitiwa kwa kutosha kwenye Telegram. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema Jumatatu kwamba kukamatwa kwa “haukuwa uamuzi wa kisiasa kwa vyovyote.” Msemaji wa polisi alifafanua kuwa uchunguzi unahusu Telegram...
  4. BUSH BIN LADEN

    Mwamba Pavel Durov, Wanazi Wa Telegram Tuko Nyuma Yako, Ila Ukienda Na Hii English Mahakamani, Lazima Wafaransa Wakufunge.

    https://www.jamiiforums.com/threads/ceo-wa-mtandao-wa-telegram-pavel-durov-akamatwa-katika-uwanja-wa-ndege-nchini-ufaransa.2249872/
  5. Candela

    Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

    Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao. More https://www.jamiiforums.com/threads/mbona-telegram-haifunguki.2251573/...
  6. winnerian

    PreGE2025 Telegram Messenger ina shida Tanzania hadi utumie VPN

    Kwanini wamefungia telgram hasa?
  7. buyoya419

    Kama ulichelewa kwenye Dogs Coin Airdrop basi kuna hizi nyingine soon zinakuwa launch cats and major zipo chini ya Telegram

    Jitihada zako ndio zitakupa faida kama zilivyowafaidisha waliokuwa na Dogs coin Airdrop Link hizo hapo chini click then start anza kukusanya coin https://t.me/major/start?startapp=474175254 http://t.me/catsgang_bot/join?startapp=CeU2qhnwz88jYNeUJJYN8
  8. Kaka yake shetani

    Telegram: Ukweli Kuhusu Usalama na Shughuli Haramu

    Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa njia fiche (encryption), ingawa ulinzi huu hauwashiwi moja kwa moja na hauhusishi mazungumzo ya...
  9. P J O

    Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

    Wadau natumai mko vizuri. Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote. Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
  10. Mwl.RCT

    The Arrest of Pavel Durov: Implications for Telegram and Digital Freedom

    https://www.youtube.com/watch?v=li0oC_0cIKI The recent arrest of Pavel Durov, the enigmatic billionaire behind the messaging app Telegram, has sent shockwaves through the tech world and beyond. Known for his minimalist lifestyle and iconoclastic views, Durov now faces serious charges in France...
  11. quantumania

    CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

    Kukamatwa kwa Pavel mmiliki wa mtandao wa Telegram pengine kumepelekea mtandao huo kuwa slow sana na wakati mwingine mpaka utumie VPN .Vip inaweza kuwa sababu hiyo ?? Wajuzi wa mambo mtujuze:::: Updates CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov (39) amekamatwa katika kiwanja cha ndege nchini...
  12. Bull Striker

    Kupakua Move na Content mbalimbali kupitia TELEGRAM

    Wakuu naomba kujuzwa namna Bora ama mbinu wezeshi Kwa ajili ya kuipata Move katika Telegram App. Maana Telegram ni mtandao mpana.So hata ikibidi tupeane ma ujuzi. Na wasilisha Kwa hatua.
  13. Mwanga Lutila

    Wabongo mmeifanya Telegram ionekane ya kihuni hata kwa watu wastaarabu

    Sasa hivi ukionekana humo unaonekana na wewe mtafuta malaya..
  14. General Nguli

    Tujuzane Chanel mbali mbali za whatsap na Telegram

    Wengi wetu tuko vyema tukisubiria Mama arudi kutoka Doha na ndizi mkate mkononi. Ni hivi, baada ya Whatsap kutuletea mfumo wa Chanel ili kuturahisishia Biashara na mengineyo. Basi uzi huu uwe wa kujuzana Chanel mbalimbali katika kupeana Ladha ya hii huduma mpya. Chanel hizi ziwe za maono na...
  15. BARD AI

    Somalia yaifungia Mitandao ya Tiktok, Telegram na 1XBet

    Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
  16. BARD AI

    Iraq yaifungia Telegram Kwa madai ya kuhatarisha 'Usalama wa Taifa'

    Serikali ya Iraq leo Agosti 6, 2023 imetangaza kuwa inasitisha matumizi ya mtandao wa kijamii wa Telegram kote nchini kwa misingi ya kulinda "usalama wa taifa", hali iliyosababisha ukosoaji kutoka kwa vituo vilivyo karibu na mirengo inayoiunga mkono Iran. Huduma hiyo imezuiwa leo ambapo...
  17. H

    Features mpya kwenye WaGPTbot - Telegram

    1. Kubadili table zilizopo kwenye hardcopy pamoja na zile ambazo zimeandikwa kwa mkono kuwa csv format Sasa unaweza ku_convert table data ambazo zimeandikwa kwa mkono au ziko scanned kwenda kwenye csv format kwa kutumia https://t.me/wagptbot piga picha data zako kisha zitume kwa...
  18. H

    Artificial Intelligence kwenye Telegram

    Habari ndugu! Natambulisha kwenu AI bot ya Telegram ambayo inaweza kushiriki kwenye mijadala mbalimbali ya groups za Telegram: Faida za bot hii: Kwa wanafunzi/wanachuo ambao wana_group za discussion kwenye Telegram watapata fursa ya kupata mchango wa moja kwa moja kutoka kwa bot pale ambapo...
  19. muzi

    Namna ya kufungua account iliyozuiwa kupost Telegram

    Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka ku-post chochote inakuja SMS inasema sorry, you are currently restricted from posting in this group...
  20. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Wakuu amani iwe kwenu! Nime-stack kidogo. Ninataka kuhamisha contacts zangu zilizo kwenye telegram kuja kwenye simu au kwenye Gmail account yangu. Inafanyika vipi? Nimehangaika pasi na mafanikio. Asante.
Back
Top Bottom