X, Signal, Telegram, JF imezuia Tanzania kwa muda mrefu
Nataka kumshauri anayefunga kuwa alisahau Facebook, Instagram, Threads, Whatsapp, Snapchat, TikTok, YouTube na mingineyo
Ni kana kwamba amefanya kazi nusu hajamalizia mpaka mwisho
Ili kazi ikamilike kwa usahihi basi amalizie na hii...
Wakuu,
Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
facebook
freedom of expression
instagram
kichwa
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
mitandao
mtandao haupatikani
mtandao kuzimwa kwenye uchaguzi
mtandao kwenye uchaguzi
nayo
signal
telegram
tiktok
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
uhuru wa habari
uhuru wa maoni
whatsapp
youtube
Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela.
Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
Katika kipindi ambacho baadhi ya mitandao kama Twitter na Telegram hupata vikwazo vya upatikanaji nchini Tanzania, kutumia VPN (Virtual Private Network) ni suluhisho la haraka, rahisi na salama. VPN huficha anwani yako ya mtandao (IP address) na kukupa uhuru wa kutumia mtandao kama uko nchi...
Habari wadau , hivi ndo tuseme telegram bongo imepigwa ban , maana Nina zaidi ya miezi kadhaa nashindwa kuitumia , nime uninstall na kuinstall upya lakini wap, shida Nini waugwana
Natumaini hamjambo, ni muda mrefu kidogo sijatumia telegram nimekumbuka lile group la Xiaomi users tz nimedownload lakin sipokei verification code tatizo inaweza kua nini?
Mambo vipi wadau?
Heri ya pasaka pili!
Kuna group moja la telegram lenye hilo jina la Aliexpress 605 ambalo linatoa kazi za online hasa kuhusu bidhaa zinazopostiwa kwenye website au app ya Aliexpress ambapo kwa maelezo yao ukikamilisha kazi fulani kama labda kulike bidhaa fulani na kuiweka...
Telegram sasa ina zaidi ya watumiaji bilioni 1 kwa mwezi, na kuwa program ya pili maarufu zaidi ya kutuma ujumbe ulimwenguni (ikiondoa WeChat, ambayo ni maalum kwa China) 🥈
Ushiriki wa watumiaji pia unazidi kuongezeka. Kila mtumiaji hufungua Telegram wastani wa mara 21 kwa siku na hutumia...
Huu mtandao wengi walikuwa wanautumia kwasababu za ngono! Lakini kwa wanaodeal na kutuma package za picha kubwa ulikuwa mzuri! Hapa kwangu ni zaidi ya miezi kama 6 hivi siupati!
Habari Kuna mwanadada mmoja anajiitwa Galaxy lady username telegram ni santie360.
Wadau kama umewahi kukutana nae naomba taarifa zaidi yupp na umemuonaje.
Shirika la Netblocks, hivi karibuni limeripoti kuwa, kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezuia upatikanaji wa app ya Telegram kwa wateja wake walioko nchini Kenya.
Netblock imedokeza kuwa Safaricom ambayo ndio kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya – imezuia upatikanaji wa Telegram nchini...
❤️ Thanks everyone for your support and love!
Last month I got interviewed by police for 4 days after arriving in Paris. I was told I may be personally responsible for other people’s illegal use of Telegram, because the French authorities didn’t receive responses from Telegram.
This was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.