RALO
Member
- Jan 31, 2012
- 53
- 18
Mambo vipi wadau?
Heri ya pasaka pili!
Kuna group moja la telegram lenye hilo jina la Aliexpress 605 ambalo linatoa kazi za online hasa kuhusu bidhaa zinazopostiwa kwenye website au app ya Aliexpress ambapo kwa maelezo yao ukikamilisha kazi fulani kama labda kulike bidhaa fulani na kuiweka kwenye kapu lako (add to cart) unalipwa kuanzia 1000 kwenda juu kulingana na aina ya kazi na level uliyofikia ya ufanyaji kazi wako.
Kuna mtu yoyote anayelifahamu hili group kama ni la kweli au kuna chembe za utapeli wa kimtandao ndani yake?
Nimeattach sample ya picha
Natanguliza shukrani zangu.