tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Mamlaka zikiri waliouawa ni ndugu zetu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wawajibishwe

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Wolfgang Pusa ametoa wito kwa mamlaka kulaani mauaji yaliyotokea wakati wa Uchaguzi na kuwasihi kukubali kuwa waliouawa ni ndugu zetu. Aidha, Askofu Pisa amesema , "Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote wawajibike, au kuwajibishwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Maandamano si uhalifu yanatambulika kikatiba, inasikitisha waandamanaji wote waliwekwa kwenye kundi la wahalifu kupewa adhabu ya kifo

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 TEC wameeleza kuwa maandamano si uhalifu. Yanatambuliwa na Katiba...
  3. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wametoa tamko yaliyotokea Oktoba 29, 2025

    Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku iliyofuata TEC imekemea vikali utekaji na mauaji ya raia yaliyijitokeza wakati wa...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Maandamano yaliyotokea nchini chanzo ni ukosefu wa demokrasia ya kweli na usalama, wasiojulikana, utekaji pamoja na kupotea na kuumizwa kwa watu

    Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 imeliingiza Taifa katika hali ya maandamano yaliyozaa vifo, watu kujeruhiwa, kupotea na uharibifu wa mali, hali ambayo imepelekea Taifa kuwa kwenye masononeko, na maumivu kwani wapo walioawa na kuumizwa...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC, Wakristo na Wapenda Haki wote Msibabaishwe na matamko ya BAKWATA , Wametumwa na Serikali kulazimisha Maridhiano, Kama Mbwai Acheni Iwe Mbwai !!

    Ndugu zangu, BAKWATA ni Taasisi iliyoanzishwa na Serikali na inayofadhiliwa na Serikali. Samia na Genge lao, miaka mingi sana wamekua wanapenyeza habari ya "AMANI AMANI AMANI " wakijua ndio Karaya yao pekee. Sasa Mtoa taarifa ambaye Yuko Ndani ya BAKWATA anasema , TAASISI hiyo imepokea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, huu ni waraka huu kuhusu uchaguzi umetolewa na TEC?

  7. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI TEC kweli imebariki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29

    Wakuu kuna hizi media nimeona zimeshupaza shingo kudai Baraza la maaskofu katoliki Tanzania katika waraka wao walioutoa Oktoba 14, 2024 wamebariki uchaguzi. Je, ni kweli?
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Taswira ya Vyombo vya Habari Tanzania katika tangazo la TEC

    Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
  10. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Maskofu Tanzania (TEC) lakanusha waraka uliosamba kwenye mitandao ya kijamii

    Akizungumza na waandishi wa Leo Oktoba 13,2025 katibu wa baraza la maskofu Tanzania Padri Charles kitima amesema waraka huo si wa baraza hilo huku akisisiza kuwa wanaofanya hivyo wakome mara moja. Waraka huo ambao uliwataka wauumini wa kanisa katoliki nchini kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha PAUL MAKONDA (BASHITE ), Ulipotupwa nje na JPM, ulikesha kwa MAKADINALI , TEC kulinda Uhai wako, Leo unawadharau TEC, siku inakuja !!

    Wadharau sana Watanzania uwezavyo!. Nakumbuka ulikua unalia mpaka unatoa Makamasi !!. Wadharau TEC uwezavyo , Mapdre wananusurika Kuuwawa, wanafatiliwa kuuwawa, wanafanyiwa Dharau na kejeli za Kila aina !!. Paul Makonda Sasa unafurahia Maisha, Bwana Bashiteee , Kijana wa mtandao ,Kijana wa wa...
  12. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Mohamed Kawaida: Tumesikitishwa Na Kauli Ya Rais Wa TEC

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki. Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam. Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  15. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania , TEC, Askofu Wolfgang Pisa Muhtasari wa habari Kibwagizo cha ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) katika Sala na Mafungo ya kuombea haki na amani yatakayofanyika siku ya tarehe 23 Agosti 2025, kitakuwa tamko kwamba "Haki na amani ni pande...
  16. English Learner

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Kanisa Katoliki kwa Kusimamia Kidete Msimamo wa TEC

    Katika picha mjongeo inayoonekana hapo chini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mbalali ambaye sasa ni Mgombea ubunge ndani ya CCM, Jimbo la Kyerwa, Karagwe anaonekana akizuiwa kutumia jukwaa la Ibada ya mazishi ya Padre Vitalis huko Karagwe kupiga siasa. Nalipongeza kanisa Katoliki kwa kwa kuwa firm...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 TEC yasema Jumapili ni siku ya ibada na siyo ya kufanya maandanamano ya uchochezi

    Wakuu nimekutana na hii Taarifa kwa Umma je ni kwelli imetoka TEC?
  18. E

    JamiiForums Tanzania Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu

    Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ikitokea TEC na Gwajima wakashirikiana, kishindo chake kitakuwaje kuelekea uchaguzi Mkuu?

    Salaam, Shalom! Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃 Unadhani kishindo chake kitakuwaje? Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist Mungu ibariki Nyikani. Karibuni 🙏
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda katibu mkuu wa TEC asirejee tena kwenye wadhifa wake

    Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza. Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana...
Back
Top Bottom