The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.
Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja.
Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au...
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
GT
Ukisoma ile tafakari ya TEC Mstari kwa Mstari walimaliza kila kitu. Sasa tume ya bitozo ikija na report tofauti na hiyo ni uongo.
CCM Kunahaja kubwa ya kuwashikisha adabu siyo wawajibikaji na wanajeuri sana hawana lengo la kuponya nchi.
Sisi tutakuja kulinganisha hizi report mbili na mda...
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
Tanzania ina historia ndefu ya ushirikiano wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo kupitia mashirika yenye misingi ya kijumuiya na kidini. Mbali na mchango wa makanisa binafsi katika jamii, kuwepo kwa mashirika kama Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC)...
Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili...
Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC)
ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025
Mwandishi,
H.M Mponda (Msema Kweli)
MA, Digital International Relations & Diplomacy
Mtanzania Mzalendo.
Utangulizi.
Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.
Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na...
Utangulizi
The Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) ni mpango wa ushirikiano ulioundwa na mashirika makuu ya kidini nchini Tanzania:
Baraza la Kikristo Tanzania (CCT)
Mkutano wa Maaskofu Tanzania (TEC)
Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA)...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 kwa matukio yalyotokea nchini Oktoba 29, iliyogubikwa...
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025
Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Wolfgang Pusa ametoa wito kwa mamlaka kulaani mauaji yaliyotokea wakati wa Uchaguzi na kuwasihi kukubali kuwa waliouawa ni ndugu zetu.
Aidha, Askofu Pisa amesema , "Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote wawajibike, au kuwajibishwa...
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025
TEC wameeleza kuwa maandamano si uhalifu. Yanatambuliwa na Katiba...
Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku iliyofuata
TEC imekemea vikali utekaji na mauaji ya raia yaliyijitokeza wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.