tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania TEC haijatoa WARAKA wa Pasaka 2025

    To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi. Vyombo...
  2. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Homilia ya askofu wa Lindi siyo msimamo wa TEC

    He
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TEC iwachukulie hatua WASAFI MEDIA MARA MOJA Kwa kupotosha kimakusudi Maneno alosema Kardinali Rugambwa huku wakitumia Picha ya RAIS WA TEC!!

    Ndugu zangu katika Kristo YESU. Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno. Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII. Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Waislam walofanikiwa Kua na Elimu Dunia wengi wanakubaliana na TEC kudai Haki

    Unaweza jiuliza, TEC mbona hawajazungumzia Udini wa MTU, TEC na Maaskofu na Manabii wengineo , wao wanataja neno "HAKI HAKI HAKI". Ila Hawa wenye kuponda Elimu Dunia , huku vichwan wamejaza Elimu Dini, kwenye kujibu utawasikia majibu Yao ni mawili tu 👉Kwakua Rais ni Muislam 👉 Angekua Mkristo...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

    Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hii statement ya TEC iliyo katika waraka wao wa pasaka na kunukuliwa toka kwa Askofu na Rais wao Wolfang Pisa, inapaswa kuwa pinned hapa...

    Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani..? "....Je, ni anayetumia nguvu kubwa na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, kwani kwa mfumo wa sasa hauwezi kutupatia viongozi wa haki na wa kweli...?" Askofu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

    Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania. -------------------------- ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955? N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa...
  9. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Amani na utengamano wa nchi yetu. Ushauri kwa TEC

    Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church.. Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Niwaombe TEC , kwakua CCM ni Sikio la Kufa , TEC itoe waraka Rasimi kuwataka Waumini kutoshiriki Uchaguzi au Maandamano ya Amani

    CCM Kwa aina ya Maisha yao ya nyuma na Sasa, Hofu kuhusu nini kitakachotokea mbeleni ndio inayowafanya wawe wagumu wa Mioyo Kuruhusu Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi. Ofcoz Kuna mambo ambayo ni lazima yajulikane ilikuaje kuaje tukafikie hapa , Mauaji ya Mzee Kibao, Tundu LISSU Kupigwa Risasi...
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Askofu Mhashamu Wolfgang: Ni jukumu letu sisi wananchi kulinda amani ya nchi yetu kwa sababu amani inapatikana kwa shida sana

    "Ni jukumu letu sisi wananchi kulinda amani ya nchi yetu kwa sababu amani inapatikana kwa shida sana na tukiipoteza hatutaipata" Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa.
  13. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Tec mkiamua mnaweza vzr san kubadili siasa za nch hii

    Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na uonevu nakuakikishieni kwa idadi yenu lzm serekali ije kwa upole San kuzungumza na wapinzani Tec mnaweza...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

    Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa. Aidha amesisitiza...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hongereni TEC Kwa Tamko lenu , HAKI HAKI HAKI ndio msingi wa Amani, Mkipuuzwa, Itisheni Maandamano, Mimi ni Msabato, ila Nitawaunga Mkono !

    Ninafuraha sana na Tamko hili la TEC , Moja ya Tatizo kubwa la Kanisan langu SDA, ni UKIMYA . UKIMYA hata kwenye masuala ya HAKI, DHULUMA. TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nimeandaa popcorn zangu nasubiri Waraka wa Pasaka kutoka TEC. Mungu Ibariki Tanzania

    Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki. Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki. Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Serikali na TEC chukueni hatua za haraka kuinusuru hospitali Bugando baada ya aliyekuwa mkurugenzi mkuu kutolewa

    Serikali yetu sikivu ikiongozwa na Raisi Samia Suluhu ,Chukueni hatua za haraka mkishirikiana na Baraza la Maaskofu TEC, Wagonjwa tunaoumia , Madactari wameanza kuomba rushwa na kuongea lugha mbaya ya vitisho Mfano siku nimepeleka mama yangu kutibiwa nilikutana na Dactari wa kinamama...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tec: Hizi All in One PC kuna kitu pale au takataka tu?

    Nataka nianze work from home. Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo. Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto? Kama aliewahi kutumia matumizi mbalimbali anao mrejesho.
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TEC yatahadharisha matumizi ya Akili Mnemba (AI ) dira 2050

    Kueleka mwaka 2050 serikali ya Tanzania imehimizwa kuweka lengo la kuhakikisha kuwa kunakuwa na muongozo sahihi wa matumizi na ulinzi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) ili kuhakikisha kuwa kama taifa linajilinda dhidi ya hatari mbalimbali zinazoweza kuibuka kwenye matumizi makubwa ya...
Back
Top Bottom