tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

    Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho Hii ni mada...
  2. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi...
  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kitu ninachowakubali TEC huwa wanapiga kwenye mshono halafu kimya

    Yaani unapigwa waraka mmoja takatifu halafu wao kimya. Kimbembe ni kujifanya unajaribu kuujibu. Mimi nilishangaa sana wale jamaa wanatoka Frontline kuupinga na kuanza kuingiza mambo ya emotions kwenye maswala nyeti ya kitaifa. Uzuri ujumbe wao uliwalenga wahusika na ukawaingia haswa. Kutoka...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ile mifungo ya maombi ya TEC huwa inaishia wapi? Ndio mjue Mungu si binadamu

    TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

    Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana. Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
  7. chongchung

    JamiiForums Tanzania Jeuri ya Kanisa katoliki Tanzania (TEC) hii hapa

    Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi? Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili...
  8. Spectophotometer

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe waraka wa TEC,CCT na PCPT mwaka 2015

    TUJIKUMBUSHE WARAKA WA TEC CCT NA PCPT MWAKA 2015
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TEC ipige Marufuku Upigwaji wa Picha pale Viongozi wa Serikali wanapowatembelea TEC kwenye Maofisi yao!!

    Picha ndio kitu wanachotafuta, baada ya hapo Utaona Vijana wao walowasambaa MITANDAON wakizitumia picha hizo na maneno yao. Hilo likishindikana TEC wawe tayari kujibu kupitia Vyombo vya habari pale ambapo Picha hizo zitatumiwa vibaya. Ni haki ya Kiongozi wa Dini Kukataa kupiga Picha na...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
  11. gijos

    JamiiForums Tanzania Tanzania: waislamu tukemee upuuzi wa kuitumia dini kuwashambulia viongozi wa kanisa katoliki TEC

    Kumetokea wimbi hatari la vikundi vya watu wachache wanaojiita waislamu au viongozi wa waislamu, lakini wanachofanya hakina uhusiano wowote na Uislamu. Vikundi hivi vinatumiwa na watawala na mitandao ya kisiasa kueneza chuki, kutukana na kushambulia Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) kwa sababu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu TEC msipoteze muda kuwajibu mashekhe ubwabwa waliotumwa bali sisi waislam wenzao tuwajibu

    Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio! Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini! Iko hivi Dini yetu ya kiislam ni dini ya HAKI NA UTU. Tunatambua madhira yote yaliyotokea na dunia nzima imeshuhudia! Ni kipofu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Risiti hizi hapa za Maaskofu walipolaani mauaji Kibiti, Mauaji ya Pemba 2001, hata Magufuli Mkatoliki mwenzao hawakumuacha

    Hao wanaosema maaskofu walikaa kimya walikuwa wanajua kuna teknolojia ya Internet ? walidhani tupo zama za mawe mambo yanasahaulika kirahisi ? MAUAJI YA PEMBA 2001 Tanzania: Religious Leaders Plead For Tolerance Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001 Magufuli akiwa Rais walilaani...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za TEC zinaelekezwa kwa serikali sasa nyie mnao jiita ma SHEIKH mnao zijibu nyie ndio wasemaji wa kuijibia serikali.?

    Punguzeni kiherehere kwakweli mnatia kichefuchefu sana na wengi wenu hata mnayo yaongea na mpangilio wenu wa hoja una dhihirisha kabisa vichwani ni watupu kabisa tena weupe peee! Hoja za TEC zijibiwe na mamlaka husika iliyo kusidiwa ,nyaraka hazijasomwa kwa waislam wala hazija somwa kwa...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tamko moja tu la TEC, wametokeza Mashekh 100. Je, wakitoa la pili si mtakufa kabisa?

    GT Hao maaskofu wana msemo wao unasema " Don't argue with the fool"( Yaani usibishane na mjinga). inawezekana ikawa slogan fupi lakini ina ujumbe mzito sana. TEC wameshasema mara moja na hawajaja tena kusema lolote lakini BAR KWATA taasisi zote zime chomoza hadi za mchongo in short wanaongea...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sisi waislam wenye akili tunaunga mkono tamko la TEC

    Asalam Alyekum.. Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki

    Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya ukristo nachelea kusema hayo na naamini hivyo kutokana na harakati zao ambazo naona wana hangaika...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kufuatia vitisho vya Masheikh Kwa TEC, Sasa kama ni Mbwai Wacha iwe Mbwai , Hatutaruhusu UHAI WA KIONGOZI DINI UKRISTO KUGUSWA, 9 Dec ni Maandamano

    Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC. Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa. Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa Kiislam rasmi wawatishia Maisha Maaskofu TEC, wasema wanasubiri maelekezo ili wawashughulikie

    Nimemsikiliza kiongozi mmoja wa Kiislam ambaye amejichubua ngozi akiwatisha maaskofu wa TEC kuwa wanasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wao ili wawashughulie hao maaskofu kwa kile anachodai kuratibu maandamano yanayokuja. Binafsi najiuliza, Lini Maaskofu wa TEC wameratibu hayo maandamano? Au...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

    Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
Back
Top Bottom