The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa .
Wito huo umetolewa leo...
Muacheni kua na Viburi na Mizaha !! Huyo anayewatuma atawaponza, TEC sio Familia ya Masikini ya Mnyonge wa WATU TUNDU LISSU !!
TEC inapoongea mara mbili mbili juu ya HAKI Kwa KITIMA dhidi ya Waliofanya Jaribio la kuondoa Maisha yao , Wanamaanisha HAKI KWELIKWELI
Sasa basi, endeleeni kuleta...
Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje.
Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
Hellow!
Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili.
Tulipoonyeshwa juu ya ajaye, tuliangalia utaratibu uliopo wa kupokkezana Bakwata na catolicano kutoa kiongozi Mkuu, tukaona hili ni ngumu...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza ni ni hasa kinachoshambuliwa kwa tukio kama lile.
"Anashambuliwa mtu,, inashambuliwa taasisi, au...
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka...
Katibu Mkuu BAKWATA Alhaj Nuhu Jabir Mruma amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), linalaani vikali tukio lililotokea jana la kushambuliwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kwa mujibu wa taarifa maalum aliyoitoa leo Alhamisi jioni Alhaj Mruma amevitaka vyombo...
Wakuu nmekutana na hili sijui gazeti sijui kipeperushi kikielezea kuwa Rais wa TEC amesema ana imani na jeshi la polisi na amewasailiana na IGP Wambura kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Katibu wa TEC Padre charles Kitima wanadai ni kutokana na mahojiano aliyoyafanya na Dw, Je ni kweli?
Muktadha wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC umegawanyika sana kutokana na mzozo uliotokana na kukataa kwa Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani baada ya muda wake kumalizika karibu miaka miwili iliyopita. Katika jitihada za kutatua mkwamo huo, Kanisa Katoliki lenye...
Waswahili wanasema hivi;
"...ukiona mwenzio kanyolewa, basi wewe jiandae kwa kutia maji kichwa chako, maana inayofuata ni zamu yako..."
Dali zote zinaonesha kuwa vita iliyopo sasa Tanganyika ni;
Vita kati ya HAKI na UOVU...
Vita kati ya MUNGU na SHETANI - IBILISI...
Watumishi wa Mungu...
Baraza la Maaskofu Tanzania Limetoa wito kwa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua za haraka za kuwabaini na kuwakamata wale wote husika na kuwakamata kwa ajili ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria
Aidha Baraza limeesa jeshi la polisi kufanya...
Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!!
Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '.
Niwashauri TEC , kabla suala hili halijapoa, itisheni Maandamano ya Amani Kwa Waumini wenu Nchi nzima.
https://youtu.be/QnKI3wLXcaY?si=BjAtS93gaNwhr3jA
➡Mtu aweza kujiuliza kuna tatizo gani ktk kauli au maneno haya yanayozungumzwa hapa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) hata awindwe na kutaka kuuwawa..?
➡Nani anayeweza kushindwa kutambua mara moja tu kuwa...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni.
Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake...
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata...
Wakati wa uwekwaji wa Wakfu kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Iringa Askofu Romanus Mihali, Kanisa Katoliki nchini katika salamu zake kwaniaba ya Maaskofu wa Kanisa hilo Makamu wa Rais wa TEC, Eusebius Nzigilwa amesisitiza umuhimu wa kusikilizwa kwa sauti na vilio vya watu wanaotaka mabadiliko...
To be honest, mwaka huu TEC haijatoa waraka wa Pasaka 2025. Na siyo lazima TEC itoe waraka. Tamko la askofu wa jimbo la Lindi ni tamko/maoni yake binafsi, SIYO waraka wa TEC. Kila askofu alichokisema kwenye salaam za pasaka au mahubiri ya pasaka ya mwaka huu ni mafundisho yake binafsi.
Vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.