Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison.
Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama
Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili!
Ila sasa huu utaratibu wa kupanga wazee kwenye team unatuumiza sana wakuu ..
Hapa unakutana na mzee mwenzangu baba...