Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (pia huitwa kwa Kiingereza: Tanzania Communications Regulatory Authority ambapo mara nyingi huitwa kwa kifupi: TCRA) ni taasisi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye majukumu ya kusimamia sekta za mawasiliano na utangazaji.
TCRA Ilianzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya mwaka 2003 kusimamia huduma za kielektroniki na posta na masafa ya mawasiliano nchini Tanzania. Mamlaka ilianza kazi tarehe 1 Novemba 2003 na inafanya shughuli za zilizokuwa Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCC) na Tume ya Utangazaji Tanzania (TBC).
Mamlaka ya TCRA ni kusimamia sekta ya posta, mawasiliano ya kielektroniki na utangazaji katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni pamoja na:
Kuzifanya shughuli za TCRA kuwa za kisasa kwa kutumia teknolojia sahihi;kuimarisha tafiti zenye ubora katika huduma zinazodhibitiwa, uwezo na umahiri wa watumishi.
Kukuza ufanisi; kuaminika na kuhakikisha usalama wa miundombinu ya mawasiliano na matumizi yake.
Kukuza ufanisi na unafuu wa huduma za Mawasiliano na kuongeza upatikanaji wa huduma za Posta na TEHAMA katika maeneo yasiyohudumiwa ipasavyo na yale yasiyo na huduma kabisa.
Kulinda maslahi ya wadau na kukuza uelewa wa haki na wajibu wao.
Kufuatilia utendaji wa huduma zinazosimamiwa na kuhakikisha utekelezaji wa Sheria na Kanuni kwa viwango vinavyostahili.
Kuratibu utekelezaji wa ahadi za kisekta kitaifa, kikanda na kimataifa.
Kufikia kiwango cha juu ya kuridhisha wateja kama ilivyoainishwa kwenye Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa TCRA.
Kuendelea kuzingatia matakwa ya kisheria na kiusimamizi.
Sera zinazoathiri utendaji kazi wa TCRA ni pamoja na:
Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu internet inasumbua, unajua kuna jambo, ikirudi tu unasearch.
Huyu anamhujumu mama yetu kipenzi wa...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu.
🗯️ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye satellite, iliyotolewa julai 2025, huruhusu simu za mkononi...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), chini ya mamlaka iliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Sura ya 306, na Kanuni zake ina wajibu wa kusimamia huduma za mawasiliano ya Simu na Intaneti, Posta, na Utangazaji wa Redio, Televisheni na Maudhui Mtandaoni.
Hivi...
Meneja wa Huduma za Utangazaji katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari na watangazaji nchini kuzingatia sera za vyama vya siasa katika uripoti na mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, badala ya kuendesha mahojiano kwa misingi ya mambo...
Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka watangazaji na waandishi wa habari nchini kuepuka kuonesha mitazamo yao binafsi au kuongeza “chumvi” wakati wa kuripoti Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza tarehe 16 Agosti 2025 katika...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kampeni ya kitaifa ya Futa Delete Kabisa inaendelea kusisitiza endapo utapokea ujumbe wenye matusi, uongo au unaoeneza chuki na kuvunja amani katika jamii basi futa na delete kabisa ujumbe huo. Aidha, inasisitiza kujenga tabia ya kuhakiki taarifa...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. Rolf Kibaja, ametoa wito kwa umma kutumia huduma za mawasiliano kwa njia sahihi na salama.
TCRA imezindua tena kampeni ya elimu kwa umma iitwayo “FUTA DELETE KABISA”, ikilenga kuendelea...
Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
Wakuu habari za muda huu?
Naandika hapa nikiwa nimefura kupitiliza. Imetosha sasa, hii serikali inabidi ifike mahali iheshimu raia.
Haiwezekani watu wawe wanajizimia zimia tu mitandao wanapojisikia.
Watu tumejiajiri huko YouTube, na leo jioni hii nilikuwa na darasa (huwa natrain watu mbali...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa.
Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
Nimesikia wakijijitetea kuwa kampuni ya X ambayo zamani ni twitter kuwa imejiondoa ila cha kushangaza hapo mwanzo kwa nini kama mamlaka ya mawasiliano mkutoa tangazo kuwa imejiondoa.
Kwa uwezo mlionao muwezi kuwadanganya watu kwa dunia hii ndio maana ilitengenezwa VPN ili kusiaidia watu wasio...
Wakuu,
Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi?
Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia.
Basi sawa!
=============================
Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa...
Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote.
Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla.
Hakikisha unazingatia mambo...
KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI
Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E. 2023, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ina wajibu wa kusimamia uendeshaji wa rajisi ya majina ya...
Wasalaamu Wapendwa.
Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb).
Wakati nawasiliana nao na kuwaambia nitumie namba ya NIDA,sms ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa, naomba watu wa TCRA...
ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata masafa hayo ya 3600- 3800 mhz ambayo yanawezesha mawasiliano ya kasi ukilinganisha na vizazi vya...
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi
Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe...
Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili...
Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu.
na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa.
Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana.
Mwendo huohuo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.