Wakuu, habari za mda huu.
Nimekuwa nikipokea messages kibao kupitia simu yangu kuwa nirasimishe namba zangu zote za simu nilizosajiri kupitia kitambulisho changu.
But kwa mujibu wa maelezo yao wanasema nipige *106# then nifuate maelezo Ila nimejaribu kufanya hvyo bado naona messages hazikauki...