UTV kuna mechi kati ya Brentford na wolves lkn wakat mechi inaendelea tukapitishiwa maandish chini yakieleza kuwa mechi itaendelea ZBC2 ili pale UTV waendelee na taarifa ya habar.
Nisichojua ni kuna ushirikiano gani kati ya Azam na ZBC na mpaka kupelekea azam kuipa nafas kubwa kwenye matukio...