tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Live on TBC Mizani: Deodatus Balile, Salome Kitomari na Mhadhiri Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania

    Watch live, kipindi cha Mizani on TBC M/Kiti wa TEF - Deodatus Bslile, M/Kiti MISA Tan - Salome Kitomari, na Mhadhiri SJMC - Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania. https://www.youtube.com/live/tmV6-5pXEQw?si=DxANnu0qNajL6iLf Karibu. Paskali
  2. JamiiForums Tanzania Kumlaumu Dkt. Ayub Rioba kutoibadilisha TBC ukijua TBC ni CCM B ni kutaka kutuonyesha chuki zako dhidi yake

    Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Dkt. Ayub Rioba Chacha anafanya nini TBC?

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha hadi sasa sijui kaenda kufanya nini TBC. Kageuzi TBC kama TV ya Chama tawala na anajivunia hilo. Je, rasi, unaona ni sawa kwa usitawi wa kitaifa? TBC ni Shirika la Utangazaji Tanzania (zamani: Televisheni ya Taifa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: TBC inadharau Bunge kwa kukatisha matangazo Mubashara ya Bunge na kurusha warsha na ziara za viongozi

    kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi. Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
  6. JamiiForums Tanzania Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC. Je, ni tawi la TBC au ni kampuni binafsi TBC ana hisa zake? Mwenye kujua anijuze
  7. JamiiForums Tanzania Ugeni wa TBC Safari Channel Maktaba

    UGENI WA TBC SAFARI CHANNEL MAKTABA Leo asubuhi Maktaba ilibahatika kupokea ugeni kutoka TBC Safari Channel watayarishaji na Warushaji wa vipindi vya historia. Walinifahamisha kuwa wapo katika kutafiti historia ya Abushiri bin Salim Al Harith ambae wao wamepita ulipokanyaga mguu wake Pangani na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa watangazaji wa TBC FM(zamani) walitumia kauli hizi kipindi wanaondoka TBC FM

    Wakuu,, Baada ya kufuatilia kwa muda kidogo na kufahamu kuwa Bongo FMradio ya sasa ndio iliyokuwa TBC FM nimejikuta nawaza kwanini watangazaji kama Dijaro Arungu(Baba Mzazi) na Miriam Migomba waliondoka TBC FM kwa kusema Wanaacha kazi Badala ya kusema kuwa wanahama kutoka TBC FM (zamani) kwenda...
  9. JamiiForums Tanzania Bakari Msuya TBC 1 na David Mayunga TBC Taifa Walipofika Maktaba Kunihoji Kuhusu Muungano

    TBC1 BAKARI MSUYA NA TBC TAIFA DAVID MAYUNGA WAMEPIGA HODI MAKTABA: KIPINDI CHA MUUNGANO Sikutegemea kuwa nitatembelewa kwa siku moja na vijana hawa watangazaji hodari kutoka TBC 1 Bakari a Msuya na TBC Taifa David Mayunga kunihoji kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyeelewa ufafanuzi huu wa TBC atueleweshe na sisi wenye vichwa vigumu

    Hebu someni hii
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee TBC wanapita wakati mgumu, rasilimali watu ina tatizo la fikra lililozalishwa uchawa

    TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza. Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana...
  12. JamiiForums Tanzania TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    Tetesi zinaelekeza Salim Kikeke anaendelea kutajwa kumng'oa Ayub Rioba alijizindika pale TBC. Hii ni baada ya chombo hiki cha Wananchi kushindwa mambo mengi na kufuja fedha za umma huku Watumishi wake wengi wakijianzishia makampuni shindani na TBC. Ukichukua TIN za Watumishi utashangaa wao ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

    Title iko wazi naona inafafanuliwa miaka 3 ya Mama hapa tunaweza kushangaa meza ya busara inakuja akiwepo Rioba na wazee wenzake.
  15. JamiiForums Tanzania TBC, mnaajiri mambumbumbu?

    Nimeshangazwa, kama si kusikitishwa niliposikia hii clip inayo trend mitandaoni. Meli mpya ya MV Mwanza imeanza majaribio. Mtangazaji wa TBC kadakia ,ati meli itafanya majaribio na kufika Kenya, Uganda, Burundi, Congo, Malawi na Sudan Kusini. Nikajuta kuifanamu TBC, kumbe kuna mambumbumbu wengi.
  16. JamiiForums Tanzania TBC wapo kwenye Mkutano wa Zari na Waandishi wa Habari!

    Inaweza ikawa sio jambo la kushangaza kwa nchi yetu, lakini ni kwanini kwenye mambo ya maana hawahudhurii mf. Mikutano ya Siasa na maandamano ya vyama vya upenzani, n.k? TELEVISION YA TAIFA MNAFELI PAKUBWA SANA!
  17. JamiiForums Tanzania DR. Ayoub Ryoba bado anaendelea kudeka TBC au kapatiwa wasaidizi wenye uwezo na akili kumzidi?

    Mwanakususa mwanakudeka ameanza kubwata na kusikika, yumkini kwa sasa aneoata watu wazito na welezi kwenye tasnia kumzidi kiasi kwamba ameona ageukie uanaharakati dhidi ya mitandao madhubuti kama jamiiforums. Ukipasua pipa sisi tunawasha kiberiti. Moto ni moto na kiberiti ni kiberiti, na pipa...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo Mchezo umeanza Dakika...
  19. JamiiForums Tanzania Ayub Ryoba wa TBC fanya kazi punguza uchawa

    TBC redio ni shirika la umma kwa ajili ya kuhabarisha wananchi na hasa wa hali ya kawaida bila kujali itikadi zao za kisiasa. Aidha shirika linapaswa kutoa habari na burudani kwa nchi nzima. Jambo la kusikitisha haki hii ya kupata habari na burudani haiwafikii Watanzania walio wengi kutokana na...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Paul Kimiti: Utaratibu wa mtu mmoja kutembea nchi nzima kufuatilia matatizo ya watu hauwezi kufanikiwa

    Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa. Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…