Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC

Nguruka

Senior Member
Dec 6, 2006
182
124
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
IMG-20240516-WA0054.jpg
 
Tunataka waondoke ofisini. Tayari tuna sheria ya Tume Huru ya uchaguzi na sheria inasema kutakuwa na utaratibu wa kupata watendaji wa Tume.
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
View attachment 2991869
Wacha we! Kajipa nafasi ya ukurugenzi wa tume huru? Mwambie, wajumbe na wakurugenzi wa tume huru ya uchaguzi hawajateuliwa na mchakato wa kuwapata bado haujafanyika.
Aondoke haraka kwenye ofisi za watu na aache kujipa promo kwani hawezi pewa hiyo nafasi Ina mwenyewe!
 
Back
Top Bottom