tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC ina kazi gani

    Hiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue basi usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maana hawaripoti habari za wananchi zaidi ni mapambio kuanzia asubuhi mpaka asubuhi. Mnajidanganya sana...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC: Hatukuripoti matukio ya Oktoba 29, wachochezi walikuwa wakihamasisha vijana kuja kuchoma vituo vya Shirika na hata kutuua sisi

    Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook; Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu tuweke pembeni mihemuko ya kibinadamu. Tujadili kama ndugu. Ni kweli, sote tumeishakoseana. Hivi...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC awajia juu wanaodai uwajibikaji wa watendaji wa serikali. Asema tusijidanganye kwamba 29 Oktoba kulikuwa tu na mauaji ya raia

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika: Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye kumbukumbu. Naona sasa ni kama vile 'narrative' inabadilishwa kwa sababu ya propaganda! Ni hivi...
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania TBC ni chombo ambacho nado inaendeshwa kwa Kodi za Wantazania?

    Nauliza hii taasisi bado inaendeshwa kwa Kodi za watanzania wanawezaje kutumia TBC chombo cha wananchi wote kwasababu ya propaganda za watu wachache?
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania TBC jifunzeni Kutoka kwa CGTN: Badala ya Kuisifu serikali, tumie Nguvu zenu pia kukuza Ubunifu na Utamaduni wa Kitanzania

    Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha Uchafuzi wa jana. Tukawasalimie muda huu

    Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha uchafuzi wa jana tulioukataa Wananchi. Wanajifanya kutangaza matokeo ya Uchaguzi eti walioshinda uchaguzi. Wanatumiwa na Mafisadi na Wauaji kuhalalisha upuuzi wao. Wananchi twendeni tukavichome hivi vituo muda huu
  7. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni TBC FM hamuweki nukuu za Nyerere siku ya leo, mnaweka nyimbo za komba?

    Katika pitapita zangu huku london nkaweka online radio za TZ, nipate kumbukumbu zake kwa siku ya leo, ila naona nyimbo za komba zimetamalaki, kuliko nukuu za nyerere, maana nyerere hana nukuu alio paka rangi zote kaongelea uhuru wa kweli , true sovereignty.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea NLD: Watakaothibitika kula rushwa, watachapwa viboko hadharani

    MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa. Doyo amesema watu wote watakaokamatwa na kuthibitika wamejihusisha na vitendo vya rushwa, watachapwa viboko 12...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naomba kipindi hiki cha kampeni TBC muwe mnatuwekea hotuba za Magufuli

    Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
  10. Z

    JamiiForums Tanzania TBC 1 Huyo mchambuzi Mgaya hajui kitu

    Hivi huyo Mgaya mnamlipa?mbona hajitambui au anajitolea tu?
  11. Sajo

    JamiiForums Tanzania TBC Taifa (Radio na Televisheni) na magazeti ya serikali kuonesha kwa usawa habari za vyama vyote vya siasa

    Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania TBC ni aibu tupu

    Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 TBC mnaficha nini kumwonesha live Samia alikabidhiwa fomu?

    Kwanini mmeficha kitendo cha Rais kukabidhiwa fomu live? Au kiherehere cha wale wanaojiita usama wa Taifa? Huyo ni Rais wetu siyo wao
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbali na Azam TV, Je, TBC nao watarusha matangazo ya CHAN?

    Ukiangalia kwa apa kwetu nchini TBC ndo televisheni ya TAIFA,na hii michuano ni mikubwa barani Africa na mpaka Sasa Azam na dstv washatangaza tayari wataonyesha swali ni je TBC wataonyesha hii michuano?
  15. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Tbc taifa Wameanza kuchamgamka

    Leo baad ya habari ya saa mbili kamili kuisha na kisha kufata ki pindi cha hotuba wa baba wa taifa kisha ikafika saa tatu kamili kuanza kwa junguu kuu basi wakaweka kibagizo cha nukuu ya mwalimu wa Nyerere akikemee swala la viongozi wala rushwa Nanukuu kidogo tu "kiongozi mla rushwa na mpenda...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimesikitishwa na kitendo cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kufunga comments Instagram kisa 'No reforms, No election'

    Wakuu Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS NO ELECTION" Kwa kutoa maoni kwenye taarifa wanazozipakia. Shirika linaloendeshwa kwa kodi zetu...
  17. blogger

    JamiiForums Tanzania Kuna Vitu katika Nchi hii vinapotoshwa sana. Ni vile tu media ya Tanzania zimekosa watu wenye uweledi

    Kuna taarifa hapa nimeiona TBC... kama wanavyoiita wAo Aridhio. Kuna dogo anagombea nafasi ya CWT. Yani sielewi, wamemkuta wapi!? Wamemhoji nini!? Wanataka nini kwake !? Ili iwe nini!? Lakini ili habari ikamate maji.. atleast angetoa number zaake ili wadau tumuhoji... TBC Mjihakiki...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya wananchi, Post ya TBC instagram na Facebook ikihoji 'Una sifa ya kupiga kura?' waapa bila mabadiliko hawapigi kura

    Wakuu Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi huru na haki
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu inaendelea TBC kimya! Mpo kwa maslahi ya nani kama jambo kubwa linalogusa usalama wa taifa mnalifungia vioo?

    Wakuu, Kesi ya Lissu ni suala la kitaifa. Watanzania tuna maslahi nayo maana Uhain si na uchochezi wa kusumbua Watanzania na kufanya tukose amani ni suala serious sana (hata kama tunajua ni uongo😂😂😂), sasa mbali na haya yote TBC, televisheni ya Taifa ni kama wapo ulimwengu mwingine! Yaani ni...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wanatajwa kumrithi Dr Rioba Ukurugenzi TBC

    Rioba anafikia tamati pale TBC wafuatao kaeni tayari. 1 Adv Cde Pascal Mayala Pascal Mayalla 2. Dr Kedmon Mapana (PhD), 3. Salim Kikeke, 4. Albert Msando, 5. Dr Sam Sassali, 6. Chief Odemba, 7. John Mrema, 8. Egbert Mkoko (PhD).
Back
Top Bottom