Yesu alipokuwa akiwaeleza wanafunzi wake dalili za kuja kwake, na za mwisho wa dunia, alitamka maneno haya ya kinabii: “Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa.” (Mathayo 24:12). Huu ni unabii unaoeleza hali ya kijamii na ya kiroho itakavyokuwa duniani kabla ya kuja kwa...