DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Mdogo mdogo tunatoa vyombo vya kiulayaulaya. Niliwahi kuwaambia Italy ndiyo Mecca ya fashion na kamwe hawatoi vitu vibovu.
Baada ya kuwaonjesha jezi moja tu tena imevaliwa na mchezaji mmoja, nchi nzima imezizima inaongelea huo uzi. Hakukuhitajika sijui video za Amapiano, sijui warembo waliojichubua, sijui wasanii wala nini. Mchezaji mmoja na picha moja mgando baaasi. Na hapo unaambiwa hizo ni jezi za kuvaliwa mwezi mmoja tu halafu tunatupa tunaanza upya. Kuna watu wanatafuta kurogwa aisee.
Tunakaribia kuingia kwenye raba. Mimi tayari nimeshakusanya collection yangu ya Diadora. Wajanja tunapenda kuvaa vitu exclusive siyo unavaa kitu, kila mtaa unakutana na washamba washamba wana kitu hiko hiko.
Diadora wanaenda kutengeneza pesa hadi wachanganyikiwe. Watanzania wakishapenda kitu hauwaambii lolote. Natabiri baada ya miaka 3 hivi itakuwa brand maarufu zaidi ya mavazi Tanzania.