tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la mtoto wa jicho

    Habari zenu wakuu, Naomba mwenye uelewa au mtaalamu wa mambo ya magonjwa ya macho anisaidie hili. Hapo juzi kati niligundua kuna kauvimbe kadogo ndani ya macho yangu ambacho hakana maumivu yoyote, ila baada ya kuchunguza kwa umakini na kuulizia baadhi ya watu walinambia kuwa huyo ni mtoto wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anatatizo la kupaliwa ninapomnyonyesha naomba ushauri

    Asaalam Wadau natumaini mmeamka salama. Naomba msaada ufuatao Mara nyingi Mke wangu anapomnyonyesha Mtoto anakuwa akipaliwa na hapo wala hakamuliwi maziwa zaidi ya kushikiliwaa tu titi ila ndo hivyo anajikuta akipaliwa kwa kweli hili jambo linaniumizaga sana. mimi tu nikipaliwa huwa nahangaika...
  3. JamiiForums Tanzania Kwani Morogoro kuna tatizo gani?

    Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM. Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni vyema serikali, Wananchi tukatambua ugonjwa wa akili na viashiria vyake

    Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe tatizo ni passport! Naona lile zoezi halikumalizika kwa wakati

    Nimeona hii taarifa rasmi. Kuna swala la passport mpya ambazo walipewa muda zile tayari naona hawakuhakiki kwa muda Tanzania ikiwa mojawapo. Lakini hata US ndani kuanzia mwezi wa kumi huwezi kisafiri n vitambulisho kama lesini za kuendeshea magari mpaka ukaweke vidole upya au kutumia passport.
  6. JamiiForums Tanzania Wewe Kocha wa Aston villa... safu yako ya ushambuliaji kuna tatizo hapo umeligundua?k

    Sisi wadau hatuongei sana na hatukufundishi ila utakuwa ushaelewa kinachoendelea hapo Mbele....hivi ana matatizo gani huyu kijana wako Glealish? Sasa kaa na kijana wako umwambie kabisa kwamba hicho kitabia chake cha kike wadau hatujakipenda!!! Ahsante.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la pingili za uti wa mgongo

    Salamu! kuna ndugu yangu yangu ana tatizo la pingili ya mgongo. Kwa mujibu ya vipimo ni kuwa pingili mbili za mgongo zimepandana (Maelezo ya Daktari baada ya kusoma matokeo ya MRI (Benjamin Mkapa, Dodoma). Hali hii imekuwa inamletea maumivi makali. Aidha, muda fulani hususani nyakati za usiku...
  8. JamiiForums Tanzania Mimba za mashuleni zilivyosumbua wazungu na changamoto za kutafuta tatizo

    Mimba za vijana mashuleni ni tatizo lililo Unix’s sana vichwa vya policy makers, tafiti nyingi zilifanyika na mapendekezo kutolewa. Kwa wazungu mimba za vijana mashuleni ni mzigo wa ziada kwa taifa kwani mtoto na wazazi wake wote inabidi wahudumiwe na serikali kuanzia makazi, chakula, afya na...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo ni mfumo wa mawasiliano au? Aliyeshtakiwa makosa 280 ateuliwa kuwa M/kiti Bodi ya VETA

    Mashtaka yalisomwa January sita ila kesho yake DPP akaondoa kesi mahsksmani kimya kimya. Sijui alipewa maagizo? ==== Peter Maduki, ambaye alishtakiwa kwa makosa 280 yakiwamo ya kughushi, kuwasilisha nyaraka za uongo pamoja na utakatishaji fedha, ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa mwenyekiti...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na vipara kichwani (bald round spots)

    Jamani, mimi nina tatizo la kutokuota nywele kichwani katika baadhi ya maeneo na nywele zinakuwa zikichomoka au zinaota zikiwa dhaifu sana hadi sasa ni mwaka mmoja tangu tatizo limeanza, katika kufatilia hata Google nimepata kwamba ni ugonjwa unaitwa Alopecia Aerata. Sasa hapa nauliza kwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Habari Wakuu! Naomba msaada wa kiufundi kwa IST kutorejesha coolant kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank ambayo imekuwa ikimwagika baada ya kujaa. Nimejaribu kubadilisha kifuniko cha rejeta lakini tatizo bado linaendelea.
  12. JamiiForums Tanzania Ujue ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Kuna matatizo mengi ya tendo la ndoa ambayo yanaathiri wanawake kwa wanaume. Kwa wanaume inawezekana ikawa ni kukosa hamu ya tendo, upungufu wa nguvu za kiume au kuwahi kufika kileleni. Leo nataka kuzungumzia ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume matatizo mengine nitazungumza katika...
  13. JamiiForums Tanzania Sioni Facebook App katika simu yangu, nini shida ?

    Sioni wala siwezi Ku access Application ya Facebook kutisimu yangu. Tatizo nini? Imepotea tu yenyewe na hats application list za kwenye simu haipo! Tafadhali msaada kujua kwa nini and how
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu limefika kileleni. Serikali ichukue hatuna kuepusha matatizo ya kisiasa na kijamii

    Hili ni kwa serikali na watunga Sera wa Taifa hili. Kuna tafiti moja nilikuwa nasoma imefanywa na Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimeshangaa kuona hili tatizo lilipofikia. Sio kwamba nilikuwa sijui bali tatizo ni kubwa na vijana waliohitimu vyuo vya elimu ya juu kwa maelfu hawana...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lugha ya kiingereza hata Kenya ni tatizo acheni Kujimwambafy.

  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

    Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutanisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini. Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nzige ni tatizo?

    Nimekuwa najiuliza,bila majibu, Kwa nini ujio wa Nzige unachukuliwa kuwa ni tatizo badala ya fursa?unachohitaji ni nyavu ndogo zilizotegeshwa njia watakayopita.technologia ipo ya kujua hilo. Nzige ni chakula chenye protein nyingi.usindikaji wake ni rahisi,pia chaweza tumika kusagwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Airtel wana tatizo gani? Msaada wa kisheria

    Habari wanajukwaaa. Poleni kwa majukumu ya kuijenga Tanzania yetu mana ni Mali yetu site na sio kuwa ni ya MTU Fulani ama kikundi Fulani cha watu. Nilenge shida kamili ni hivi: Kuna mshkaji kwangu Wa karibu amelalamika juu ya hii kampuni na utoaji wao Wa huduma zao. Ishu Iko ivi kuna Yale...
  19. JamiiForums Tanzania Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

    Hawa sio mashabiki wa mpira au wafuasi wa chama fulani cha siasa. Hawa ni wataalamu wa kada ya afya. Madaktari, manesi, mafamasia etc. Wapo kwenye usaili kambi ya Twalipo, Mgulani, wakitaka kujiunga na jeshi,baada ya jeshi kutangaza nafasi za ajira. Hizi ni fani ambazo ilikua nadra sana kumkuta...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Mtwara tupewe Taarifa

    Kwa muda wa miezi kadhaa sasa pamekuwa na ukatikaji wa Umeme kwenye baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kama vile Mikindani, Msijute mpk Mpapura, wananchi hawaelewi tatizo ni nini, kwa siku Umeme unakatika zaidi ya Mara 6,Mh Waziri tunaomba msaada wako,isitoshe gesi inazalishwa hapa hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…