tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la muwasho na vipele kidevuni

    Habari wajuvi, mimi ni mhanga wa vipele na muwasho kidevuni hapo awali nilikua nanyoa na kiwembe baada ya kunyoa hutokwa na vipele vingi sana hata kama nikitumia after shave Nikashauriwa kutumia magic powder tatizo likaisha ila kinachonisumbua kwa sasa nikifuga ndevu zaidi ya wiki moja kidevu...
  2. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  3. JamiiForums Tanzania Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

    Habari! Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu. Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo sio ada bali ubovu wa mitaala ya elimu yetu

    Wakuu Serikali haijatatua tatizo! Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake! Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko nchini!!!? Mhitimu huyu aliemaliza kidato cha nne au sita Anaweza kujiajiri na kukuza kipato chake KWA...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa tatizo la Ngorongoro nimeichukia filamu ya Royal Tour

    Tatizo la Loliondo linatakiwa kazi Sana kujisafisha maana hata vyombo vya nje vimesharipoti kuhusu vurugu kwa wamasai na dunia inajua Mmsai naye ni sehemu ya adventure, yaani ukimuungalia tu utali tosha sasa unamtoaje Mmsai ni bora kumuhamisha twiga Mmsai abaki, tutegemee hapo watalii...
  6. JamiiForums Tanzania ILO: Umasikini unachangia tatizo la ajira kwa Watoto

    Bila kuwepo Mikakati, Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa, Idadi ya Watoto wanaotumikishwa inaweza kuongezeka kwa Milioni 8.9 ifikapo mwisho wa 2022, kutokana na umasikini pamoja na kuongezeka kwa mazingira magumu Hali ya Ajira kwa Watoto inatajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wakiwa waaminifu, na wakawa wanajituma ipasavyo bila kudokoa dokoa (kuiba iba), tatizo la ajira litakuwa halipo

    Watu wengi wanatamani kuanzisha biashara mbalimbali, zenye mitaji ya maelfu, laki, mamilioni n.k Changamoto inakuja, ni nani wa kumuajiri; au ni nani wa kusimamia hiyo biashara. Inapotokea ameajiriwa kijana; yule kijana anaanza kuhujumu biashara, kuiba kidogo kidogo ili aende akaanzishe ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye kununua umeme

    Wanajamii umeme unagoma kununulika kwa tigopesa/mpesa, kama kuna njia mbadala tujuzane kulala na kiza kimeo
  9. JamiiForums Tanzania Napata Tatizo hili JF Shida nini?

    Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine. Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali. Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini Sababu ni nini? Cc: Moderator
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kubabuka mapajani

    Habari wanaJF Hivi karibu nlienda Moshi safari kikazi nikakaa wiki maji niliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa ngozi (peeling) kama inavyoonekana kwenye picha. Sijadate na mwanamke yeyote wala kula cha mtu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kubanduka ngozi (skin peeling) mapajani

    Habari wanaJF Hivi karibu nlienda moshi safari kikazi nkakaa wiki maji nliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa ngozi (peeling) kama inavyoonekana kwenye picja. Sijadate na mwanamke yeyote wala kula cha mtu toka...
  12. JamiiForums Tanzania Tujadili mfumo mpya wa e filling wa tra tatizo liko wapi?

    Huu mfumo hauna hata miezi 6 na hii taasisi ina watu weledi na wajuzi wengine walipelekwa India kusoma coding na security, lakini tatizo linaanzia wapi hasa ? Kama mfumo ulikua bado haujawa tayari kwa nini mli phase out ule uliokuepo kabla hamjajoridhisha ?
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

    Kwema Wakuu! Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya kikatili huko kanda ya ziwa. Haiwezi kuisha siku mbili bila kusikia matukio ya kikatili kutokea...
  14. JamiiForums Tanzania AY: Kumfungulia Mtoto Mchanga Akaunti Mtandaoni ni Tatizo la Akili

    “Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili. “Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa ya Nchi zetu na Bara la Afrika yanatokana na 'software za ubongo na sio hardware'. Yaani tatizo ni 'minds'

    Fikra/Akili ni muhimu sana huhusishwa katika kujinasua kwenye minyororo ya kitumwa. Tanzania na Afrika kwa ujumla tunapenda kutuliza matatizo na sio kuyatatua Yaani tunameza 'pain killers' tu na sio dawa za kutibu. Tumefungwa kwenye minyororo ya Utumwa wa Fikra na Utumwa wa Kiuchumi. Tatizo...
  16. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya UBAKAJI Nchini, tatizo ni nini? Tujadiliane tuokoe taifa letu

    Mimi ni mmoja wa watu ambao wamekuwepo kwenye ulimwengu wa habari kwa muda mrefu, siyo mkongwe lakini nakaribia kwenye Dunia ya wanahabari wakongwe. Moja kati ya nyakati ambazo zimekuwa zikitawaliwa na matukio ya ukatili kwa binadamu hasa ubakaji, ulawiti na udhalilishaji kwa Wanawake na watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Nini tatizo la Taa za Check Engine, VSC na Trac Off kuwaka kwa pamoja

    Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na kuliwasha tena tatizo linapoteza, ukitembea tena km 37 taa zinawaka. Gari bado lina nguvu na kila kitu kipo...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye Chrome

    Kwema wakuu! Kuna hili tatizo nalipata kwenye chrome. Huwa kuna muda kuna kitu kina-jidownload lakini niki click kwenye download ili nikistop hakionekani. Niki-Click kama nataka ku-exit chrome ndio inaandika "download is in progress" hapo ndio na exit ili isiendelee kumaliza mb zangu. Ila...
  19. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni muhimu kwa sasa

    Ukisema hatA kama ulikuwa ni CCM kindakindaki, unakuwa mpinzani. Unatakiwa uwe mnafiki kusifia kila kitu Hivi;- Kuonyesha nyala za serikali ndio kuifungua Nchi - Kuonyesha hazina yako ndo kuvutia wawekezaji tutaibiwa mpaka tukome na hiyo faida tunayoitegemea itatupa majuto. Mungu ibariki...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

    Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu? Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida ni nini jamani? Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui ni Tabora hiyo, aisee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…