tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

    Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la kurudiwa kutangazwa kwa nafasi za kazi za Assistant Lecturers

    Nini tatizo, Kwanini nafasi hizo zinarudiwa mara kwa mara kutangazwa? Je wanakosa watu? Je watanzania hawana vigezo? Je wakachukue wageni? Je watanzania hawana elimu za masters? Je kusoma masters ni gharama? Au wanachunguza sana mwisho wanakosa mtu wanayemwihitaji? Au hawawapati watu wale...
  4. JamiiForums Tanzania Ili kukabiliana na tatizo la umeme nchini, Serikali ingetumia mpango kazi huu

    Kilio cha umeme kimetamalaki kila kona nchini kwa sasa na Hii inasababishwa na serikali kutumia chanzo kikuu kimoja cha umeme KWA zaidi ya asilimia 90 ya mikoa yote. Chanzo chetu kikuu cha umeme ni maji na Sasa ukame ndio kisingizio kikuu,serikali inapaswa kuwekeza Katika vyanzo vingine vya...
  5. JamiiForums Tanzania Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
  6. JamiiForums Tanzania Tujaribu kuongeza uzalishaji wa umeme wa gesi ili kutatua tatizo la kukatika kwa umeme

    Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi. Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa. Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania KWELI Mafuta ya taa, kitunguu na ndulele huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole (paronychia)

    Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza kutibu mdudu wa kidole. Ukweli ni upi?
  9. JamiiForums Tanzania Dodoso: Tatizo la Tanzania sio CCM

    WATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA. Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na...
  10. JamiiForums Tanzania Je, PM ndio Tatizo? Je, ni uhaini kujadili mitandaoni Uwezo wake?

    Ujasusi, Uwezo binafsi wa kuchanbua Na kuchakata Mambo ni Jambo la kuiga hata Kama si kipaji chako Yapo Makundi mawili yanayoshnikiza PM kuondoka katika nafasi yake nayo ni kama hivi 1.wapinzani , hao ni kawaida kusema fulani aondolewe Na hata mara nyingi maneno Yao uwa hayatishi kwakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Maji yapo, tatizo Uongozi

    Hili swala Maji ni Kama laana kwa viongozi wetu. Kiufupi, viongozi wamelaaniwa. Wala hawawezi kuelewa mambo ya msingi. Kwa teknolojia ya sasa Maji ya mto ni kwa matumizi ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation) sio matumizi ya maji ya kunywa. Mito hukauka. Maji ya kunywa yapo ardhini, baharini...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwani una 'Tatizo' lolote lile hadi kila mara ujitokeze 'Matamasha' ya Kukuombea?

    Mtume wao Mwamposa alivyotonywa na Watu wa Mfumo wasio na Vifua vya Kutunza Siri kutokana na Viapo vyao kuwa ataondolewa Tanganyika Packers Kawe haraka sana akaandaa Tamasha la Kujipendekeza kwa Rais Samia kwa Kusema ni la Kumuombea akiwa na Mategemeo kuwa 'atalainishiwa' na hatoondolewa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Tanzania hawawajibiki kwa uzembe wao ila wenzetu wanakubali kuwajibika kwa tatizo ambalo siyo lao?

    Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika. Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara ya Kongwa - Mpwapwa ni tatizo

    Hakika katika wilaya nchini zinazosababisha Tanzania kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ya nchi zenye wanachi wasio na furaha basi hii wilaya ina mchango mkubwa. Barabara ni ya vumbi na mbaya zaidi ina matuta madogomadogo a.k.a rasta ambapo kwa basi au gari mtikisiko unaotoka kwa kupita kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

    Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili: Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo alianzisha bifu na Kila mtu ndio maana anapigwa au kupondwa kila Kona

    Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndio walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndio anawazidi kwa akili zake fupi. Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye mitandao mbalimbali kinyume kabisa na sheria...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji nchini na hasa jiji la Dar hakuna njia mbadala kumaliza tatizo hili? Mimi napendekeza hili

    Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama? Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji: Mto Ruvu hauna maji au ni matengenezo ya DAWASA?

    Ni vema tukaelezwa Ukweli ili tujipangie Siku za kuoga Tatizo ni nini hasa? Ni matengenezo ya Pump za Dawasa au Mto Ruvu hauna Maji?! Msema Ukweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni!
  19. JamiiForums Tanzania Sioni tatizo lolote mtu kujiandaa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2030

    Mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa sasa CCM ipo chini ya Samia ambaye pia ndio Rais wa JMT. Kwa utaratibu waliojiwekea CCM ingawa haupo kwenye katiba ya chama au kanuni nyingine, mtu akiwa kwenye nafasi ya Urais kipindi cha kwanza, ni vizuri anaachiwa pia kipindi chake cha pili ili aweze...
  20. JamiiForums Tanzania Nina tatizo na mwanamke huyu, yaani kama anaingia humu ajue anajisumbua sana

    Wana izengo kama somo hapo juu linajieleza. watu wengine tunakutana na majanga na mitego. Ipo hivi, nilikutanana mwanamama huyu sehemu moja ya kutafutia riziki, ni mfanyakazi kama mie. Ni ofisi yenye pesa na Alhamdullillah tunapata pesa na tuna kila usafiri kila mmoja, tena wa maana. Bahat...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…