Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi.
Nini kifanyike?
Kwa maoni yangu kwa miaka kadha...
Shalom,
Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?
Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.
Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie.
Nawasubiria kwenye comments
Wadiz
Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu...
Leo Simba Wana tukio (event) pale Dodoma mgeni rasmi akiwa Naibu Spika Zungu.
Kinachonifanya niseme chanzo cha matatizo ya Simba ni Viongozi ni pale Mjumbe mmoja wa Bodi aliyepewa nafasi WA kuongea Kwa niaba ya Bodi na kumkaribisha mgeni rasmi, anapomwambia mgeni rasmi kwamba matokeo mabaya ya...
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi.
Sababu ni hizi
𝗪𝗶𝘃𝘂
Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo,
dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
Salam humu.
Naona tatizo lililotokea limeonesha jinsi gani mawasiliano yalivyo muhimu kwa Taifa.
Mitandao ya mawasilianao ya simu na wadau wengine ilipaswa kuwa ya kwanza kutujuza sisi wateja kuwa kuna tatizo la katizo la mawasilianao ya kimtandao ,,but they come later..labda sijui kuhofia...
Salam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo...
Mtoto anachunika ngozi mikononi na miguuni. Inaanza kama kidoti fulani kisha ukivuta ile sehemu ndo inatoka kipande kikubwa cha ngozi . Hahisi maumivu yoyote na hospital nimeenda wakasema ni kawaida tu wakanipa dawa za minyoo
Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet
=================
Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend? Umejiuliza kwa nini na kulaumu sana mtandao wako?
Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na...
Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae.
Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila pengine wahusika walijisahau au kupotezea kwa makusudi haya tunayoyaona ni matokea ya mapuuza ya...
Kuna Barabara ni tokea alivyojenga MWALIMU NYERERE, je mnategemea zitakuwa ni bora kwa maisha ya sasa?
Mfano barabara ya kutoka Morogoro mpaka dodoma yaan kila mita 100 kuna shimo! njia nzima ni mashimo tuuu je hizi ajali mnalaumu Askari wa usalama.barabarani?
nimeona barabara ya bagamoyo hasa...
Habarini wakuu!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie nini mwanamke. Yupo aliyenipenda na kutumia usiku mzima kunijaribu kwa kila hali ikiwemo kuloweka...
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho.
Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za...
Kwa mujibu wa taasisi ya kimarekani ya National Health and Nutrition Examination Survey (NHANES) hadi kufikia mwaka 2016 nchi ya Tanzania ilikuwa ina kiwango cha unene uliopitiliza (Obesity Rate) kwa 8.4% ya idadi ya watu wake. Huku USA ikiwa na 42.1% ya idadi ya watu wake. Hii ni kumaanisha...
TUUVUNE NA KUUHIFADHI UMEME KWA MATUMIZI YA BAADAE ILI KUPUNGUZA TATIZO LA MGAO NA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA NCHI YETU
Utangulizi
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazojitegemea...
Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri...
[GASTON JORDAN LIVIGHA]
[gaejombishi@gmail.com]
UTANGULIZI
Naandika sio kwa dhumuni la kushinda pesa la hasha! lakini naandika nikiwa kama mmoja wa vijana walioathirika na janga la ukosefu wa ajira. Nikiwa kama muhitimu wa chuo cha Dodoma shahada ya mipango na usimamizi wa miradi na maendeleo...
UTANGULIZI.
Kuna Msemo unasema kuwa "Ajira ni chache ila kazi ni nyingi". Hii inatupa tafsiri kuwa, ajira zinapatikana kwa uchache sana ila kazi (Kujiajiri)/Fursa, zipo nyingi na hii inategemea na uwezo wa mtu (Taifa) kuziona fursa hizo na kuzibadili kuwa fedha na kutengeneza ajira kutoka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.