Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
Huwezi kutoka kwenu Mali kuja hapa kutukana watu na kukoromea marefa. Afungiwe haraka sana kuanzia mechi tano.
Mnasuburi nini mpaka muda huu? Kama hamna posho za kikao, semeni mimi nitawalipa
Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni ishaanza wizi hii
Hivi ili linaweza kuwa tatizo gani la saikolojia?
Mtu kuwa uuongo sana yaani anadanganya kupitia kiasi. Kushindwa kujitambua ( yaani kuwa mtu ambaye anashindwa kudadavua mambo yake mwenyewe au kujisimamia )
Kuwa mtu mwenye wivu wa kupita kiasi, Mchonganishi, Mpenda sifa sana na kuongea kupita...
Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi.
Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
Anonymous
Thread
kibaha
kibaha kwa mfipa
maji
mtaa
tatizotatizo la maji
tatizo la maji kibaha
Hizi ndio sababu kwa nini tatizo la ajira sio kubwa sana Ulaya
1. Ulaya ina makampuni mengi sana
Nchi nyingi za Ulaya kama Germany, United Kingdom, France nkzina makampuni mengi sana makubwa kama BMW, Siemens, Volkswagen nk
Makampuni haya yanatoa mamilioni ya ajira, direct na indirect
2...
Jina langu katika cheti cha kuzaliwa ni BAHATI NJEMA DAIMA
JINA LANGU KWENYE KITAMBULISHO CHA NIDA NI BAHATI NJEMA DAIMA.
JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM FOUR NI
BAHATI N DAIMA
JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM SIX NI
BAHATI N DAIMA
JINA LANGU KWENYE CHETI CHA SHAHADA NI
BAHATI N DAIMA...
Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.
Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono.
Tatizo linaweza kuwa maeneo haya:
1. Je waliopigiwa makofi mengi...
Donald Trump
Ni raisi mwenye chokochoko hana tofauti na kidawa mpenda kufunua Makaburi na vyungu vya sumu ambavyo havikutakiwa kufunuliwa, kesha funua vyungu vingi vipo wazi vinatema sumu na sasa dunia nzima inakohoa
Kim Jong Un
Ni raisi mwenye mikono inayowasha sana anapenda kuchezea moto...
Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Dakawa, Dumila, Gairo, Mvomero, Turiani, Madizini, Kibati mpaka Pemba, kuna...
Anonymous
Thread
kimya
kukatika
kukatika kwa umeme
mamlaka
mvomero
sugu
tatizo
umeme
wilaya
wilaya ya mvomero
Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha kifedha. Hata hivyo, uhalisia mtaani na mashuleni kila uchwao unazidi kuthibitisha kuwa, huenda elimu hii...
Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka.
Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu.
Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
Miaka kadhaa liyopita nilikuwa nikiishi na mwanamke ambaye alikuwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku na mchana,nilidumu naye kwenye mahusiano miaka minne tu tukaachana.
Miaka mitatu baada ya kuachana (2023 ) na mimi nikajikuta nina tatizo lile lile lake, tofauti yetu ni moja tu mimi...
Habari,
Nimekuwa na tabia ya kukumbuka vitu na matukio yaliyopita kuliko kawaida,au kukumbuka vitu ambayo naweza kusema sio vya muhimu sana.
Mfano kuna watu nimesoma nao levels za chini tangu shule za msingi kuna wengine hua nakutana nao nawakumbuka vizuri ila wao ni kama hawanikumbuki labda...
Hamjambo!
1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu.
2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume.
3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
Mambo vipendhy
Husika na mada apo juu je, macho yanachangia na mtu kujiskia kichwa kizito?
Mda mwengine kama kupata kizunguzungu mda huo huo ninavyojiskia hivyo na macho pia huwa kama yanavuta hivi kwa dalili hizi ni sahihi kwenda kwa daktari wa macho?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.