tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama nyie Simba ni Wanaume kweli basi fanyeni kama Tarehe 08 March 2025

    Nawapanga kabisa Makolo, kama kweli nyie ni Wanaume na mnajikubali basi mgomee na msuse kupeleka timu uwanjani huko Amani Abed karume (Stadium) Zanzibar kama mlivyofanya kwenye mechi ya Derby 08 March 2025. Maana huku mmezoea kubebwa na mjomba wenu Karia kwa maamuzi yenu ya hovyohovyo na yasiyo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tarehe 15.5 iwe siku ya kuadhimisha MILA na DESTURI kwa nchi za Afrika!!

    Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa nchi zetu. Urithi uliorithiwa kutoka kwa mababu zetu ni ngome yetu. Natumai kwamba kupitia sherehe...
  3. JamiiForums Tanzania Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
  4. JamiiForums Tanzania Hodi hodi Mwanza: Zijue sababu za kiroho kwanini Likud anaenda Mwanza tarehe 19 May na kurudi Dar tarehe 23 May

    Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni nini katika ulimwengu wa roho? A topic for another day) How did I know that about Mwanzanian women...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
  6. JamiiForums Tanzania Onyo na angalizo kwa Simba SC dhidi ya propaganda ya kiufundi inayofanywa na Yanga SC kuelekea mechi ya tarehe 15 juni, 2025

    Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa. Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
  7. JamiiForums Tanzania Kila la heri makadnali 133 wanaotarajia kuanza uchaguzi wa Pope tarehe 7/05/2025

    NA MUITA KRISTO BWANA ATAKAYE NI HUKUMU , ASHUHUDIE KWAMBA KURA YANGU IMETOLEWA KWA YULE AMBAYE KULINGANA NA MUNGU NAAMINI ANA FAA KUCHAGULIWA. Hayo ni maneno ambayo kila kadnali anayerusiwa kupiga kura ya kumchagua Papa hutamka mbele ya altare akiwa amesimama na karatasi ya kura yake kabla...
  8. JamiiForums Tanzania Tarehe 8 ruksa kutumia busara kumkimbia Pacome ila hiyo June ndiyo iwe sahihi kutokutumia busara? hiyo ni akili au matope?

    Tarehe rasmi ya mchezo ilikuwa 8, Busara zikatumika kumkimbia Pacome, Sasa mnalazimisha Busara isitumike kumpatia Yanga haki yake na kumlazimisha kucheza hiyo June 😀 Mna akili timamu kweli? Kateni hizo alama shusheni hata Ligi ya Mkoa HATUCHEZI! Semguto, Jaribu tena na Karia watacheza 🤝
  9. JamiiForums Tanzania Kinajimu tarehe ya fainali 25-05-2025 imekaa vizuri sana kwa Simba

    Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025. Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja nizichimbe zaidi nione zina nini ndani yake. Kwa kuanzia, code ya Tanzania ni 255. Utabiri wangu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wa DSM mbona mko kimya majanga ya mvua ya Tarehe 28-29 May 2025

    Msikae kimya semeni matokeo ya hio mvua madaraja na majanga mengine
  11. JamiiForums Tanzania Dondoo za Hatifungani za tarehe 30 Aprili 2025

    Hii ni aina ya Fixed Income Security, yaani Serikali inakukopa pesa yako leo na Inakuahidi malipo ya riba ya kudumu (fixed 14% kwa mwaka), Na baada ya miaka 10, inakurudishia mtaji wako wote. Riba ya 14% inabaki ile ile kwa miaka yote 10 bila kujali kama hali ya uchumi itabadilika — iwe mfumuko...
  12. JamiiForums Tanzania Chadema watathubutu kuandamana kesho tarehe 28?

    Au bado wanauguza majeraha? Kwa nini inakuwa lazima kuwapiga watu kama vile wao ni watoto? Kwa nini Chalamila hataki kuona kwamba watu wakija kutoka mikoani kusikiliza kesi ya Lissu Gesti House Dar zitafurika?
  13. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa kuandika TRA uliofanyika tarehe tarehe 29 na 30 March 2025

    MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Leo tarehe 22 ndo tunapumzisha ndugu yetu Justin Kimodoi kwao bukoba Buyekera, pumzika salama mdau mkubwa wa maendeleo Kagera

    Ratiba ya mazishi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ya Jana yameshapita, tugange ya tarehe 27 na ushauri wangu kikosi kiwe hivi ili kuiondosha Stellenbosch

    Stellenbosch atakufa kwa kikosi hiki tu na sio vinginevyo 1. Camara 2.Kapombe 3. Nouma 4.Che Malone kama amepona 5.Hamza 6.Kagoma 7.Kibu 8.Okajepha 9.Ateba 10.Mavambo 11. Mpanzu
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nimeoneshwa na Mungu kuwa simba itaifunga stellenbosch magoli mawili yote ya kichwa siku ya tarehe 20 april 25

    Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika. Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa! Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Nane, tarehe 17 Aprili 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
  18. JamiiForums Tanzania Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

    Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stellenbosch. Mods naomba nieleweke...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je Ulipata kujiuliza tarehe kamili ya Pasaka(Passover) ni LINI?

    Maadhimisho haya ktk miaka yetu hufanywa na wayahudi na hata wakiristo, ambapo wakiristo mbali na Pasaka huadhimisha pia UFUFUO wa YESU Kiristo Chimbuko lake ni Ukombozi wa Wana wa Israel kutoka Utumwani nchini Misri. Mungu wa KWELI alimtumia MOSES ambaye kupitia kwake Mungu aliwapiga Wamisri...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/watu tuliozaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11th April

    Habari za muda huu wadau. Yoyote ambaye amezaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11 April, wa jinsia yote kama anaishi Dar es salaam na maeneo jirani natamani nipate partner wa ku share nae siku hii muhimu kwanga. Karibu inbox kwa maelekezo zaidi Ahsante 🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…