tapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Aliyetapeli kwa kujiita Afisa Usalama wa Taifa akamatwa Iringa

    Gabriel Kaserikali Mkazi wa Mbezi Mwisho, Dar es salaam anatuhumiwa kumtapeli Mohamed Nassoro mfanyabiashara wa magari wa Magomeni Dar es salaam kwa kujitambulisha ni mtumishi kutoka Idara hiyo Akiwa Iringa alijitambulisha kwa baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Iringa kuwa yeye ni Afisa...
  2. waziri2020

    Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

    Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar. Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

    Ni kumchana live tu. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.
  4. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Mnakumbuka story ya Raia Mwema - Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu. Doreen aliolewa April 2012, ndoaya kikatiki na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata...
  5. H

    Mwenye hii namba +255784686681 ni tapeli.

    Wakuu kuna mtu anatumia hii namba +255784686681 kutuma sms kwenye simu mbalimbali na kujifanya yeye ni ofisa wa jeshi la wananchi kwamba kuna nafasi zimetoka apigiwe simu, ukimpigia na kumhoji maswali akishagundua umemstukia unaishia kuambulia matusi. Namba imesajiliwa kwa jina la Gervaz Lyeiza
  6. Dr Matola PhD

    Je, unaweza kumshtaki wakili tapeli TLS?

    Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya mawakili kuwatapeli wananchi kwa sababu ya kutojuwa sheria na mawakili hawa kuutumia umbumbumbu wa sheria wa wananchi kuwafanyia matendo ya dhulma badala ya kuwapa elimu. Sasa nauliza TLS wana kitengo kama una malalamiko na uadilifu wa wakili fulani kwenda...
  7. ward41

    Nabii Bushiri building a multi billion dollar city

    Baada ya kutapeli south Africa fweza za kutosha jamaa ameamua kuwekeza Kwenye real estate. DUNIA hii Ina mambo
  8. B

    RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  9. Dola Iddy Wa Chelsea

    Taja dalili za mwanamke tapeli kwenye mapenzi

    Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa, Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili akupige mpunga mwingi, Naanza mimi:- 1. Ukimpiga denda tu anaanza kutoa miguno - broh huyo demu ni...
  10. The Khoisan

    Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  11. Nyankurungu2020

    Polepole: Sina muda wa kukaa kwenye mdahalo na Bulembo, ni muhuni na tapeli aliyedhohofisha jumuia ya wazazi.

    "Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya @ccm_tanzania ) " @hpolepole https://t.co/y8F1t3J0Y9
  12. Suzy Elias

    Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli. "...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
  13. M

    Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

    Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili...
  14. M

    Tahadhali, Tapeli Uzunguni Kilimani Dodoma

    Jamani ndugu zangu wa Dodoma Mjini hasa wale mnaoishi maeneo ya Uzunguni Kilimani, nimepata lalamiko toka kwa rafiki yangu mmoja ananiambia hapo uzunguni kuna jamaa TAPELI MITAA HIYO kuweni makini naye, jamaa yangu anadai katapeliwa na huyo ndugu pesa yake. Inasemekana huyo tapeli ni mgeni...
  15. seifutz

    Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    "Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo. Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu...
  16. M

    Jinsi Hushpuppi tapeli la kinaigeria na genge lake walivyomtapeli Mqatari 1.3 million dollars

    By Vincent Achuka Reporter Nation Media Group As an unwritten rule in all global Internet frauds, no matter the amount of money stolen or the friendships that exist between gang members, all scams end when the scammers turn on each other. On Thursday, the United states indicted Kenyan...
  17. M

    Tapeli Mkenya Abdul Juma ndie alipelekea Hushpuppi kukamatwa

    Mzuka wanajamvi! Yule Tapeli maarufu kutoka Nigeria alipata umaarufu kwa kugonga vichwa vya habari duniani kwa utapeli mitandaoni na kujipatia kiasi kikubwa cha mamilion ya dollars za kimarekani Ramon Abbas almaar Hushpuppi juzi Alhamisi kafunguliwa kesi rasmi na FBI. Ila cha kushangaza...
  18. Sam Gidori

    Hashpuppi, tapeli wa Nigeria akiri makosa ya utakatishaji fedha

    Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amekiri makosa ya utakatishaji fedha katika mahakama nchini Marekani. Hashpuppi, aliyejipatia umaarufu kwa maisha yake ya anasa mitandaoni, ambapo ana wafuazi zaidi ya milioni 2.5 katika mtandao wa Instagram, amekiri makosa ya utapeli...
Back
Top Bottom