tapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Forgotten

    JamiiForums Tanzania AzamPesa nimejisali leo tayari napokea simu za matapeli

    Habari wana-JF imebidi niandike huu uzi maana nimepata mashaka na usalama wa taarifa zangu kwenye hii huduma ya AzamPesa. Leo asubuhi nilijiunga na huduma ya AzamPesa kwa lengo la kuanza kutumia huduma hii ila simu ya tapeli niliyopokea imeniaminisha hii huduma bado siyo salama kwa Watanzania...
  2. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu. Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana ambaye anaonekana kwenye video hapa na akaniambia yeye ni mwalimu amemaliza SUA na amepata kazi Songwe...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huna mpenzi bali una tapeli. Mwandikie SMS kuwa una shida na elfu 10 chap halafu subiri majibu

    Hii ni kwa ma men. Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila kitu, 60k- 70k ilikutoka. Leo asubuhi mwambie akutumie 10k chap una shida utaona sarakasi zake...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nampigia Saluti huyu Tapeli Mbobezi

    Suala la utapeli lipo kila mahali, angalia hapa jinsi Tapeli anavyotafuta hela kwa njia ya Ki-Michael Jackson,
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

    Heri ya mwaka mpya watu wangu wa nguvu. Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi. Naomba niseme kuwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2024. Sikuwa nimepanga kuweka uzi hapa JF mapema hivi ila imenibidi nifanye hivyo baada ya kupokea ujumbe huu wa onyo kwa njia ya WhatsApp...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla amtupia kijembe "Mo", asema ni tapeli, bahili na Janjanja

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Mbunge na Mwanasimba Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe wa mafumbo kwenda kwa mmiliki wa Simba "Mo" akitumia "codename" ya "Glazer" ambaye ni mmiliki wa Manchester United Kigwa ameandika: "Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Alichonijibu huyu tapeli wa mtandao kimenifanya nitafakari mno juu ya Taifa langu Tanzania

    Habari, Leo asubuhi nilipokea ujumbe kwa namba ngeni ukisema "Mbona siku zinakwenda upo kimya" Mwisho kajitambulisha kuwa ni mwenye nyumba. Nikajua tu ni tapeli wa mtandaoni anajaribu bahati huenda akatumiwa pesa na mmoja wa wapangaji wanaodaiwa na wenye nyumba. Nikampigia akapokea simu kwa...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nilichomfanya tapeli wa mapenzi alivyotaka kunitafuta kilaini...

    Majeruhi: Money penny bwana, nilikutananna wajinga flani hivi hapa dar wakataka kunitapeli ili wanile kilaini Money penny: doh, wamefanyaje Majeruhi: mjinga wa Kwanza alinichunguza wee akajua weakness yangu ilipo, akaomba kuvaa utajiri ili anipate Money penny: enhe Majeruhi: akaniaminisha...
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

    Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia. Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa...
  10. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Huyu si tapeli kweli ?

    Habari za mchana wa Jf.. Mtu nisie mjua namba inaonyesha sio ya Tz amenitext Wasap kwa jumbe hiyo chini ,kutoka na utapeli wa mitandaoni kuenea mimi japo sina uzoefu na mambo hayo ila nahisi moja kwa moja ni tapeli. Naomba wazoefu mtu dondoo kuhusu matapeli wa aina hawa kama ni kweli tapeli...
  11. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Jina Dalali limekaa Kitapeli Tapeli

    Aisee hili jina limekaa kitapeli tapeli ndiyo maana madalali wengi wamekaa kitapeli tapeli sababu ya nguvu ya jina lao. Napendekeza waitwe hata Mtu mwema/Watu wema. Hii itasaidia kubadili tabia zao pia Mshana Jr anajua nguvu ya jina.
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

    Good Morning jamiiforums. Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel. POLISI. Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwa anakudai ni sawa kukuposti mitandaoni kukuita tapeli?

    Wakuu. Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa. Well Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote. Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi yule Tapeli Nicholaus Musonye na bonanza lake la Cecafa amefia wapi?

    Musonye anastahili kuitwa tapeli, huyu ndio aliyeiuwa Cecafa ambayo miaka ya nyuma wakati Katibu akiwa Mganda Cecafa ilibamba sana. Musonye kwa kuonesha kwenye Cecafa alichokuwa anajali yeye ni pesa tu alifikia hatua Yale mashindano kuyafanya yawe yanafanyika Tanzania tu na ili apige mpunga...
  15. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

    Wasalamu, kupitia msaada wa mitandao ya jamii imefanikisha kulikamata tapeli sugu na maarufu nchini jina Yonah Kittah pichani chini. Kwa miaka mingi amekuwa akifungia kampuni halali za kuuza viwanja na mashamba kwa kulipia kidogo kidogo kwa awamu. Kisha ukishamaliza kulipa mkopo wako anaanza...
  16. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
  17. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Nilimdaka tapeli Mbeya baada ya kutapeli simu Dar

    Nikiwa Mbeya 2022 nilifahamiana na bwana mmoja tuliyekuwa tunamuita ngosha lakini baadae nilitambua anaitwa Katemi. Huyu mtu nilifahamiana naye baada ya kuwa tunaonana mara kwa mara sehemu ambayo nilikuwa napenda kushinda ni mtu ambaye tulikuwa tunaheshimiana na ni mtu mzima. Kwa muonekano...
  18. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ukiwa tapeli, mnafiki, muongo na tapeli utapendwa na kusifiwa sana na watu

    Utakatishaji wa fedha, au utapeli, ni vitendo vinavyohusisha utumiaji wa mbinu zisizo halali kuficha asili ya pesa au mali zilizopatikana kwa njia isiyo halali. Hii ni aina ya uhalifu wa kiuchumi ambao husababisha uharibifu mkubwa kwa uchumi wa nchi. Uongo ni kitendo cha kutoa taarifa zisizo za...
  19. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na huu Utapeli wa kumdhamini tapeli kwa boda boda

    Aisee tujihadhari na huu wizi, Leo Nikiwa ofisini namba +255694480796 Ikanipigia Ile napokea tu jamaa akajitambulisha ni mwalimu magunga shule ya msingi ameomba namba yangu hapo kwa mtu, Ananiomba nimpe namba ya kijana wa piki piki ninayemuani chap ana haraka sana! Basi Mimi Bila kuwaza...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tapeli aliyeiibia Urusi afariki akiwa na umri wa miaka 56

    Afisa wa Benki na tapeli mahiri wa Urusi Sergey Grishin amefariki dunia nchini Marekani, akiwa na umri wa miaka 56. Grishin alikiri mwaka 2018 kuwa ndiye aliyepanga mpango wa kuzihadaa benki za Urusi mabilioni ya dola. Grishin alilazwa hospitalini kufuatia tatizo la ubongo mwezi uliopita, na...
Back
Top Bottom