Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,695
- 29,030
Mzuka wanajamvi!
Yule Tapeli maarufu kutoka Nigeria alipata umaarufu kwa kugonga vichwa vya habari duniani kwa utapeli mitandaoni na kujipatia kiasi kikubwa cha mamilion ya dollars za kimarekani Ramon Abbas almaar Hushpuppi juzi Alhamisi kafunguliwa kesi rasmi na FBI.
Ila cha kushangaza imefahamika aliyepelekea kukamatwa kwake yeye na deputy commissioner wa polisi Nigeria Alhaj Kyari ni tapeli lingine zoefu Abdulrahaman Imnraan Juma ama Abdul Juma kutoka Kenya.
Kwa kifupi Juma alipata deal kubwa la kumtapeli mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar kwa kumuingiza mkenge atapata mkopo wa dollars 15 million kwa kuanzisha kampuni na uwekezaji. Alifanikiwa kumleta huyo tajiri hadi Kenya na kumtapeli hadi dollars 150, 000.
Baadae tena Huyu Abdul Juma akataka hela zaidi kama 250,000 $ sasa ikabidi amtafute Hushpuppi hili iyo hela ingie kwenye account Marekani.
Hushpuppi alipopata hili deal wakakubakiana na huyu mkenya Abdul Juma atachukua nusu ya hiyo hela.
Hushpuppi akaingia mzigoni akishirikiana na deputy commissioner wa polisi Nigeria na marafiki zake Marekani. Kwa haraka wakaanzisha tovuti feki na bank account.
Wakampiga sound mqatari lakini tayari alishahisi mchezo mchafu katika hii account akasita.
Ila baaaye wakamshawishi atume anunue florida kwenye duka la saa halafu iyo saa gharama yake 250,000 us $ itumwe Dubai. Mqatari akakubali kutuma iyo hela ndipo hapo 'Red line' ikasomeka kwenye system za FBI kwasababu mqatari aliandika iyo hela katuma ni ya kujenga shule lakini FBI wakashangaa kwanini linaenda kwenye duka la saa. Na ndipo hapo wakaanza kufuatilia na kumkama Hushpuppi.
Hushpuppi amekubali mashtaka yote ya kutapeli watu zaidi ya 24 million Us $.
Jamaa alikuwa akiposti Instagram. maisha ya kifahari na nukuu za motisha 'motivational quotes' kwa followers wake zaidi ya 2.5 millions
Source Nation Media
Soma zaidi kwa Kiingereza hapo chini