Kigwangalla amtupia kijembe "Mo", asema ni tapeli, bahili na Janjanja

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Mbunge na Mwanasimba Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe wa mafumbo kwenda kwa mmiliki wa Simba "Mo" akitumia "codename" ya "Glazer" ambaye ni mmiliki wa Manchester United

Kigwa ameandika:

"Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine hawana shida kabisa…Glazer ni tapeli, janja janja, fitna na bahili kweli kweli! Siyo kama Ghalib ama Yusuf, wale wamenyooka, wanatupia mzigo wa Maana kwenye timu! Sisi mpaka leo Glazer hajalipia hisa zake…I repeat mpaka leo hii! Ni miaka mingapi hiyo? Unajua sababu yake? Ulidhani GSM tungemjua bila Manji kuondoka Yanga? Ukitaka kwenda peponi lazima ufe kwanza."

Screenshot 2023-11-09 at 12.10.43.png
 
Ulidhani GSM tungemjua bila Manji kuondoka Yanga? Ukitaka kwenda peponi lazima ufe kwanza."
Ahamie tu kwa GSM ikiwa keshanyegeshwa na huyo kijana.

Na akitaka kubaki Simba basi akaibe hazina ya mama Abdul apate hela kisha aje aimiliki Simba.
 
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Mbunge na Mwanasimba Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe wa mafumbo kwenda kwa mmiliki wa Simba "Mo" akitumia "codename" ya "Glazer" ambaye ni mmiliki wa Manchester United

Kigwa ameandika:

"Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine hawana shida kabisa…Glazer ni tapeli, janja janja, fitna na bahili kweli kweli! Siyo kama Ghalib ama Yusuf, wale wamenyooka, wanatupia mzigo wa Maana kwenye timu! Sisi mpaka leo Glazer hajalipia hisa zake…I repeat mpaka leo hii! Ni miaka mingapi hiyo? Unajua sababu yake? Ulidhani GSM tungemjua bila Manji kuondoka Yanga? Ukitaka kwenda peponi lazima ufe kwanza."

View attachment 2808632
Ana matatizo huyo toka akose uwaziri amekuwa mropokaji kama waropokaji wengine
 
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Mbunge na Mwanasimba Hamis Kigwangalla ameandika ujumbe wa mafumbo kwenda kwa mmiliki wa Simba "Mo" akitumia "codename" ya "Glazer" ambaye ni mmiliki wa Manchester United

Kigwa ameandika:

"Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine hawana shida kabisa…Glazer ni tapeli, janja janja, fitna na bahili kweli kweli! Siyo kama Ghalib ama Yusuf, wale wamenyooka, wanatupia mzigo wa Maana kwenye timu! Sisi mpaka leo Glazer hajalipia hisa zake…I repeat mpaka leo hii! Ni miaka mingapi hiyo? Unajua sababu yake? Ulidhani GSM tungemjua bila Manji kuondoka Yanga? Ukitaka kwenda peponi lazima ufe kwanza."

View attachment 2808632
Na mimi ninaongeza, ni Muhindi mbumbumbu asiye na akili, anayeogopa ku risk
 
Hapana, MO tapeli kweli kweli
Simba imewahi fika Robo Bila MO toka karne hii ianze? Alikua na Timu kipindi cha James Sianga na Mark sirengo na Kina Kaniki timu ikaitoa zamalek na kuingia Robo Historia kaandikwa, toka aachane nayo mda huo haijagusa tena Robo hadi alivyo Chukua tena hivi karibuni.

Pengine Watu wana Expectation kubwa ila jamaa kaipeleka Simba kwenye nyanja za kimataifa.
 
Daah huyu Tura ana gubu balaa utadhani demu na shida ilianzia aliponyimwa Mkopo wa boda boda Grazier alijua jamaa akimdai hawezi kulipa inatakiwa apambane asidhani akimuona mtu Tajiri anatakiwa atoe tuu...
 
Point to note

Ukitaka uende peponi ....lazima ufe kwanza,.....

No shortcut
 
Kingwangala ana gubu kama mke mwenza, kila siku ni kurudia mipasho hiyo hiyo tu. Yeye amechangia kitu gani pale Simba akiwa kama mwanachama tu wa kawaida, embu atupishe.
 
Back
Top Bottom