tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA IGP Simon Sirro afiwa na Mama yake Mzazi usiku wa kuamkia leo

    Mama mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 10, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu. Msiba upo nyumbani kwa IGP Sirro, Masaki, Dar es Salaam. Kati ya jambo ambalo Mungu...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padri Cephas Mgimwa Afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Padri Cephas Mgimwa amefariki leo katika Hospitali ya Teule ya Tosamaganga Iringa Makamu Mkuu wa Chuo amesema katika tangazo la kifo kuwa taarifa za siku na eneo ambalo atazikwa zitatolewa
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa hoteli ya kitalii ya Snowcrest, William Mollel afariki

    Arusha. Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha ambaye pia ni mmiliki wa hoteli kadhaa za kitalii , ikiwepo Snow crest , William Mollel amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Akizungumza na mwananchi Mpwa wa mfanyanyabiasha huyo,Lemburis Sirikwa amesema Mollel amefariki Jana. "Ni kweli...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mfalme wa wazulu, Goodwill Zwelithini afariki dunia

    Mfalme wa Wazulu wa Afrika Kusini, Goodwill Zwelithini amefariki katika Hospitali ya KwaZulu-Natal alipokuwa anatibiwa kisukari Mfalme Zwelithini ameugua kwa takribani kabla ya umauti kumkuta alfajiri ya Machi 12. Amekuwa mtawala waZulu tangu 1968 Zwelithini ni mfalme wa nane wa wazulu ambapo...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo afariki dunia

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo amefariki dunia leo Jumanne Februari 23, 2020. Katibu mwenezi CCM mkoani humo, Mayunga George amethibitisha. Chanzo: Mwananchi
  6. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

    Kwa taarifa za uhakika ni kuwa aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu ametangulia mbele ya haki. Profesa Benno Ndulu amefariki dunia asubuhi ya leo Februari 22, 2021 katika Hospitali ya Kairuki alipokuwa akipatiwa matibabu. Profesa Ndulu alihudumu nafasi ya Gavana...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa kutohoa neno TANZIA kutoka kwenye TANZANIA?

    Wataalam! Ukiangalia Utofauti wa neno TANZIA na TANZANIA ni mdogo sana! Je, kuna uhusiano wowote wa inchi na neno hilo? Je, hakuna namna yoyote neno hilo likafutwa kwenye kamusi na kutaftiwa neno mbadala?
  8. Kennedy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari za mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia kwa changamoto ya upumuaji huko Morogoro Hospitali ya Rufaa Mwandishi Vedastus Sungu alikuwa akipatiwa tiba kwenye Hospitali ya SUA, hali yake ilipozidi kuwa tete sana akahamishiwa Hospitali ya Rufaa Morogoro ward number...
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

    Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Februari nyumbani kwake nchini Marekani. Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi? Mwanahabari Mukhsin Mambo, wakati wa uhai wake -- Mwandishi wa habari Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Februari 8...
  10. Mwandwanga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia usiku huu Februari, 26 akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Watanzania kuomboleza kifo hicho huku akituma salamu za pole kwa wafiwa wote...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Maarufu wa RTD Abissay Stephen amefariki dunia asubuhi hii

    Wanabodi, Nimepokea taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa RTD, (sasa TBC), ABISAY STEVEN, amefariki dunia asubuhi hii. Mpashaji habari wangu amesema msiba huo umetokea katika hospitali ya Muhimbili alikolazwa kufuatia kuugua kwa muda mfupi. Taarifa zaidi zitafuatia. Kwa wale wa zamani huyu...
Back
Top Bottom