tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Fredy Sam, mmiliki wa Rose Garden Dodoma afariki Dunia

    Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam. Bwana Fredy alifikishwa hospitalini hapo wiki tatu zilizopita akiwa anasumbuliwa na pressure...
  2. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gerd Müller, mchezaji wa zamani wa Bayern Munich afariki dunia

    Gwiji wa zamani wa Bayern Munich na timu ya Taifa ya Ujeruman bwana Gad Mullar amefariki dunia Jana akiwa na miaka 75. Miongoni mwa kumbukumbu anazokumbukwa nazo ni Kufunga goli 34 kwenye mechi 35 za champions league Kufunga goli nyingi kwenye World cup moja Kufunga goli 40 kwenye msimu moja wa...
  3. Informer

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

    DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th...
  4. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Justinian Anatory afariki dunia

    Aliyekuwa Naibu Makamu Mkuu Mipango, Fedha na Utawala katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Profesa Justinian Anatory amefariki dunia. Profesa Anatory ameacha alama zake za kitaaluma UDSM na UDOM aliko pitia akilisukuma gurudumu la maendeleo mbele. Bwana alitoa, bwana ametwaa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Mtangazaji maarufu wa Radio free Afrika na Star Tv, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7. Atakumbukwa zaidi katika vipindi mbali mbali alivyojipatia umaarufu ikiwemo Mambo Mambo na RFA pamoja na Asili ya Mtanzania kupitia Star Tv.
  6. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

    Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar. Marehemu Keenja alizaliwa December 24, 1940. Mungu aipokee Roho ya Marehemu mahali pema...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa wa kiongozi kitaifa halafu kifo kitangazwe?

    Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa. Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe?
  8. Prisonerx

    JamiiForums Tanzania TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

    Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. CURRICULUM VITAE – (CV) SURNAME: KWANDIKWA FIRST NAME: ELIAS OTHER NAME: JOHN SEX: MALE MARITAK STATUS: MARRIED DATE OF BIRTH: 1st...
  9. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Aloyce Mayo afariki Dunia

    Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ. Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. ==== Prof. Mayo Amefariki Dunia Mkoani Dar es Salaam katika...
  10. Elitwege

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa Peacock hotel, Joseph Mfugale afariki dunia

    Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi. ======== Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa...
  11. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam. Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hassan Ngella, Diwani wa CCM kata ya Luduga wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe afariki Dunia

    Diwani wa CCM kata ya Luduga wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe, Hassan Ngella amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mbeya baada ya kuugua ghafla. Katibu wa siasa na uenezi CCM wa wilaya, Ruben Nyagawa amethibitisha. ----- Diwani wa Kata ya Luduga...
  13. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua askari Arusha adaiwa kufa akijaribu kuwatoroka polisi

    Jambazi aliyemuua kwa kumkata mapanga Askari polisi, H.2407 Constable Damasi Magoti wa kituo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Jacob Kideko au Ramadhani Kichwa(43) Mkazi wa Makiba amefariki dunia katika jaribio la kuwatoroka polisi alipokuwa akisafirishwa jijini Arusha. Kwa mujibu wa...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja "Mzee Kichupa" afariki Dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere. ==== SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanamume anayeshutumiwa kwa kumshambulia Rais wa Mali afariki dunia

    Mwanamume anayetuhumiwa kujaribu kumdunga kisu rais wa mpito wa Mali, Assimi Goïta, wiki iliyopita amekufa hospitalini akiwa chini ya ulinzi, serikali inasema. Mshambuliaji huyo, ambaye hajatambuliwa, alikamatwa baada ya kushindwa kutekeleza jaribio lake, ambalo lilifanyika wakati Bwana Goïta...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko Freeman Mbowe ametuhumiwa...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

    Aliyekuwa mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amefariki dunia leo July 22, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha. Mama Mgwira alistaafu ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mei mwaka huu na alikabidhi ofisi kwa mrithi wake, Kigaigai Mei 27 mwaka huu wa 2021 Anna...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afisa Mtendaji Mkuu Wa PPRA afariki dunia

    Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17 jioni
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu mkoa wa Geita afariki ghafla kikaoni

    Afisa elimu mkoa wa geita Julius Nestory amefariki ghafla kikaoni. Taarifa zitawajia punde. === Ofisa Elimu Mkoa wa Geita, Julias Nestory amefariki ghafla wakati akiwa kwenye kikao na maofisa elimu wa wilaya kilichofanyika katika Shule ya Sekondari Nyankumbu iliyopo mjini Geita. Mganga...
Back
Top Bottom