tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Tunaishi duniani ili tufe

    Yaani kama una uhai leo jua utakuja kufa tu. Kwahiyo punguza kuchakarika, kujivimbisha, kutukana watu. Utakufa na hutokuwepo tena duniani. Kiburi na majivuno yako yote hayatakua na maana na wala havitakuwepo duniani tena. Umezaliwa ili uje ufe na hili haliepukiki.
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Hatuna Watangazaji wa Kike wa Mpira Miguu?. Tanzania Alijitokeza Mmoja, Halima Mchuka, Leo ni Miaka 10 Toka Afariki, Kwanini Hana Mrithi?

    Wanaspoti Kwanini sisi Tanzania hatuna watangazaji wa kike wa mpira wa miguu?. Tanzania alijitokeza mmoja, Sports Lady Halima Mchuka, leo ni kumbukumbu ya miaka 10 toka alipofariki, kwanini mpaka leo hujawahi kupata mrithi?. Tujikumbushe enzi zake Video kwa hisani ya Aboubakar Liongo. Soma...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Richard Marcinko: Mwanzislishi wa Seal Team Six afariki akiwa na miaka 81

    Richard Marcinko, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 81, aliweka alama yake katika jeshi la Marekani kama kamanda mwanzilishi wa Seal Team Six, mojawapo ya vitengo vya vya mafunzo ya hali juu Marekani ambavyo baadaye vingefanya uvamizi hatari dhidi ya Osama Bin Laden. Mkongwe wa Vita vya...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90. Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mama Mzazi wa Lulu diva amefariki

    Mama Mzazi wa Luludiva amefariki. Mama Mzazi wa mwanamziki (Msanii wa Bongo fleva) Luludiva amefariki dunia desemba 19, 2021. Kwa mujibu wa Lulu diva alisema mama yake aliugua kwa muda mrefu na amekuwa akimuuguza kwa miaka mingi. Mwili wa mama Mzazi wa Lulu diva kuagwa juma pili tarehe...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ajikata uume kisa urijali

    Chemba. Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguka kiuno na kusababisha asiwe rijali...
  7. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sani Dangote afariki dunia

    Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani. === Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead. Mr Dangote died in the United States Sunday after a protracted illness, PREMIUM TIMES learnt. Relatively less...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA Terance Wilson "Astro" hatunaye

  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bondia afariki baada ya kupigwa KO katika shindano la ndondi

    Maswali yanaulizwa kuhusu taratibu za usalama katika ndondi ya Zimbabwe kufuatia kifo cha Taurai Zimunya baada ya kupigwa katika pambano mjini Harare. Zimunya, 24, wa uzito wa Super bantam, alifariki siku ya Jumatatu, baada ya kuzimia wakati wa pambano lisilo la ubingwa siku ya Jumamosi. Ni...
  10. Thidanganyiki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Simba, Yahaya Akilimali afariki dunia

    Aliyekuwa winga teleza wa klabu ya Simba, Yahya Akilimali, amekutwa na umauti usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma. Mazishi yatafanyika leo nyumbani kwao Ujiji Kigoma.
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

    Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84. Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a type of blood cancer that hurts the body’s ability to fight infections. “General Colin L. Powell...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine afariki kwenye ajali ya ndege Marekani

    Mzuka wanajamvi! Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi. Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport Atlanta Georgia mda mfupi baada ya kupaaa. The plane 'was taking off, went straight up, and it took a...
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Professor Frank Chiteji afariki

    Professor Frank Chiteji amefariki dunia. Tumetoka mbali pamoja. Nilifahamiana naye kwa miaka mingi sana tangu mwishoni mwa miaka ya sabini alipokuwa mwanafunzi Michigan State University pamoja na Issa Kaboko Musoke, mwandishi wa habari Daily News na baadaye professor UDSM. Chiteji na Musoke...
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mchora katuni wa ufaransa Bwanaaaa Lars Vilks amefariki dunia kwa ajali leo nchini huko. Bwana Lars Vilks alijipatia umaarufu baada ya kuzua taharukii kwa kuchora katuni ya mtume MOHAMED SAW. === A view of a scene after an accident between a car and a lorry in which three people died...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Gwiji la mauaji ya kimbari Theoneste Bagosora afariki gerezani

    Kanali katika jeshi la zamani la Rwanda aliyepatikana na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 800,000 waliuawa, amefariki gerezani nchini Mali ambako alikuwa akitumikia kifungo. Théoneste Bagosora, mwenye umri wa miaka 80, alikuwa afisa wa...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri, Hussein Tantawi afariki dunia

    Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia. Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak. Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara...
  19. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili Msomi Dkt. Kibuta Ongwamuhana afariki Dunia

    Wakili Msomi Kibuta Ongwamuhana amefariki akiwa anapatiwa Matibabu Nchini Afrika ya Kusini. Katika Wanasheria walioisumbua Serikali ya Tanzania kipindi cha miaka mitano iliyopita ni Mzee Kibuta ..huyu Mzee alikuwa mtata sana PROFILE YA WAKILI MSOMI KIBUTA DR. KIBUTA Chairman Dr. Kibuta...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

    Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe, (pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Msiba huo umetokea ikiwa...
Back
Top Bottom