Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---
Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25...