Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tunafahamu kwenye universe kuna sayari nyingi sana, nyota, satellite za asili, vimondo n.k
Hakuna mwenye hatimiliki ya space ni ya wanadamu wote bila kujali rangi yao
Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha space colonisation mission na itakua na kazi zifuatazo
Kutengeneza artifical ozone layer za...
Habari zenu wanajukwaa. Nimekuja kwenu kujua endapo mimi kama mzazi ninaweza kumwanzishia mtoto wangu Trust fund atakayoweza kupata manufaa yake akishakuwa mtu mzima?
Naona kwenye filamu huko Marekani na Ulaya kuna huu utaratibu wa kiasi gani beneficiary atapokea, kwa muda gani na nani...
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
https://www.youtube.com/live/khT-HcF4C3w
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile.
Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa Watu kuzuiwa kutekeleza Haki zao za Uhuru wa Kuabudu na hakuna lolote linalofanyika. Haki za...
"Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
Habari zenu wapendwa katika ujenzi wa nchi?
Ninaomba kwa wale wataalamu wa Mambo ya ujenzi wanisaidie ni wapi hizi material za geosynthetics zinapatikana kwa dar (yani maduka ya na you za hizi material)
Asanteni
Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe
Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana
Shame on you all rubish lowyer...
Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati
Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili.
Waziri wa Mambo ya Nje na...
Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania.
Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
Wewe ngoja nikwambie kitu leo... kuna baadhi ya mikoa Tanzania imeamua kufanya "matukio" kama ni michezo ya ligi kuu, na kila wiki kuna headline mpya.
Ila sasa wiki hii ARUSHA imejifanya kama imepata jeuri ya kuingia kwenye ligi ya "mikoa ya matukio balaa"... 😂
Sasa nasoma habari eti arusha...
RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI
✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma
✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani.
✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka
✅️ Serikali...
Tanzania imepiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya.
Agizo hilo jipya linakataza wageni kushiriki katika sekta 15 zikiwemo uhamishaji wa pesa kwa njia ya simu, uongozi wa watalii, uchimbaji mdogo wa...
Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe.
Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu
" Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma tayari kwa safari ya kuelekea Wilayani Namtumbo kwa ajili ya Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited, tarehe 30 Julai...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imejikuta katikati ya mjadala baada ya kutangaza kuwa idadi ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imefikia milioni 37.6.
Takwimu hizi zimezua maswali mazito kutoka kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati...
Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje"
It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics .
Sasa kwa age yako
Wasifu wako
Maisha kijumla.
Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki .
Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
Muandaaji wa matamasha mtanzania au mrundi anaeishi Canada PCK adai miezi ijayo Chris atafanya show kwa Mkapa na tayari ashaongea na management yake na kukubaliana kila kitu venue itakuwa LAKI na ishirini kama kiingilio cha chini zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.