Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
Naomba kujua ABC Kuhusu hii gari hasa mafuta ,spew,na changamoto zake genuine nin zipi?? Na namna ya kuzishulikia
magaba og
Magari Aina Zote
Magari damu
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akimwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la Usimamizi wa Maafa kuhusu Kupunguza Hatari za Maafa na...
These two East African nations face similar economic challenges from rising global oil prices, but their financial situations are diverging.
In Kenya, transport costs have risen 15.7% and commercial loan rates average 14.39%.
Tanzania entered the period with 4.3% inflation, a central bank...
Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao.
Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
alama
baraka
faraja
maendeleo
maendeleo ya tanzania
mkoani
mwenge
mwenge wa uhuru
rukwa
sumbawanga
tanzania
tuendelee
uhuru
umoja
vijana
wafanyabiashara
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na taasisi za fedha za kimataifa, ikiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), umeendelea kuimarika huku uchumi wa nchi ukionesha ukuaji wa kuridhisha.
Balozi Omar amesema hayo (12.10.2026)...
Nimepanda SGR kutoka Dar kwenda Morogoro nimefurahia usafiri wa starehe wa bei nafuu ila kila nikikumbuka Jiwe ndiye aliua upinzani bungeni akatuachia matutusa tu bungeni na kuligeuza bunge kuwa jumuiya mojawapo tu ya chama tawala au tawi la serikali kuu nashindwa kumsamehe kabisa.
Hivi...
Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme .
Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata...
Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji.
Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi.
Hali iliyopo nyumbani...
Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa
Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni.
Deni la nje: Sh75.89 trilioni
Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz
Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97.
Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
SIjawahi kuona hili likisemwa sana wala kuandikwa sana wengi hamjui au nahisi mnachukuliaga simple sana hili swala.
Na hilo jambo ndio limebaki kama nguzo pekee ya ccm ukitaka kuniamini kua Watanzania hua tunalichukulia poa kuna kiongozi juzi juzi kasema vyoombo vyote ni vya ccm..sijaona watu...
Habari Tanzania !...
Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii.
1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?.
Ombi langu;
Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
CCM ni old version kwa ajili ya old version people.
Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya.
Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya.
Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao...
Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga.
https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv
Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
Hivi ni mimi peke yangu ndio naona kuna tatizo kubwa la unyanyasaji dhidi ya watoto Tanzania
Mwaka huu tumesikia kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa, watoto wa kike kubakwa na juzi tu huko Pemba kuna mwanafunzi ameuawa na kukatwa mkono
Sikuhizi pedophiles wameongezeka sana...
Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja.
Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano...
Washiriki na washindi wote wa mashindano ya u-miss Tanzania hawana makalio makabwa na ni wembamba.
Je kutokuwa na makalio makubwa ni kigezo kimojawapo cha kushiriki mashindano ya urembo au wanawake wenye makalio makubwa na wanene kuna vigezo wanakosa vya kushiriki mashindano ya urembo ?
Picha ya pambano la kijiografia kati ya Marekani na Uchina
Wakuu, salamu!
Leo nimeamua kuhama kidogo kwenye yale mazoea yetu ya kila siku ya kufanya tathmini za siasa za ndani za vyama na majina ya wanasiasa hapa Tanzania. Badala destiny yetu tusogeze darubini mbele zaidi na tuangalie siasa...
Unajua unaweza kuwa na mtaji mkubwa wa biashara ya mbolea, lakini ukashindwa kupata faida kwa sababu ya makosa machache tu?
Tanzania ni nchi inayotegemea sana kilimo, hivyo biashara ya mbolea inaweza kuwa fursa nzuri ya kujipatia kipato. Lakini kabla hujafungua duka la mbolea, kuna mambo muhimu...