Toyota Rav4 miss Tanzania

Toyota Rav4 miss Tanzania

Naomba kujua ABC Kuhusu hii gari hasa mafuta ,spew,na changamoto zake genuine nin zipi?? Na namna ya kuzishulikia
magaba og
Magari Aina Zote
Magari damu
Chukua old model, hizi new nyingi zinalalamikiwa injini nasikia ina alminium parts ambazo mara nyingi ni changamoto
1792333643770.jpeg


1792333727194.jpeg
 
Back
Top Bottom