tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  2. JamiiForums Tanzania Hatutaki maridhiano yoyote na huu utawala batili tarehe 09 tunatoka

    Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano! Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu anataka kufanya uchunguzi yaani ajichunguze yeye!! 1. Amekwepa kuomba radhi kwa ukatili uliofanywa na...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: EAC ipitiwe upya - Kenya aondolewe uwanachama kwa vurugu au Tanzania ibaki na SADC tu iachane na EAC

    Mwaka 1977 jumuia ya Africa mashariki ilikufa lakini msababishi alikuwa ni huyuhyu anayeleta vurugu Leo, Sioni haya ya kuwa na regional integration ambayo Haina Tija ambayo inaendesha harakati za vurugu ndani ya jumuia. Ni vema juumu Kama Taifa tuangalie hili swala huku tukikumbukua kuwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

    Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE...
  5. JamiiForums Tanzania Ukisoma Historia ya Tanzania toka mwaka 1961 mpaka sasa, Tanzania si nchi ya kutishwa na Gen Z, hawa wanadhibitiwa na migambo tu na Dunia ione

    Duniani hakuna adui mkubwa Wala mdogo lipokuja swala la amani ya Taifa, Leo tunaona wageni wanafanya vurugu nchini huu uhuru wanautoa wapi? Tuionyeshe kuwa Tanzania si nchi ya kuichezea kiusalama, waone umoja wa waTZ tukipigania masilahi ya Taifa letu. Ni muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition Services – Tanzania Nzima, Karibu tukuhudumie kwa ubora wa hali ya juu

    Tunafundisha wanafunzi wa ngazi zote (mitaala yote) popote ulipo Tanzania. Tuna walimu wenye uzoefu, waaminifu, na wanaojali maendeleo ya mwanafunzi. ✔ Masomo ya sayansi na arts ✔ Mitihani ya NECTA, Cambridge, na IB ✔ Pia tunatoa huduma za tuition kwa watoto wenye uelewa mdogo Wasiliana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa roho kwa yanayojiri Tanzania

    Unajua mauaji yaliyotokea katika ulimwengu wa roho yalipangwa? Muaji alishakubariana katika ulimwengu wa roho ili aweze kutoa kafara ya sadaka, kwa wanaotizama kwa jicho la tatu hilo wanalijua. Lakini wale wenye macho matatu wameshajua mpango mzima na muuaji nguvu zake zimeanza kupungua hana...
  8. JamiiForums Tanzania Wiki mbili baadaye, jumuiya ya kimataifa bado haijawatupa mashujaa wa Tanzania

    Ni vigumu sana kuua maelfu ya watu pasipo na sababu, hususan kwenye zama hizi, halafu utegemee dunia ikae kimya. Sasa hivi dunia imeingiliana sana. Litokealo sehemu moja basi jua kuwa litawagusa tu na wengine waliopo sehemu zingine. Ukweli ni kwamba Tanzania kwa sasa haina vyombo vya habari...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi za Ulaya na Marekani na Nchi Rafiki zitatoa angalizo kwa Wananchi wao wanaopanga kwenda Tanzania kufanya Utalii kuelekea DEC 9

    Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!. DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
  10. JamiiForums Tanzania Kama siyo Tulia kujiondoa, Tanzania ingeongozwa na madaktari watupu

    Kwa usomi, Tanzania tuko mbali. Rais daktari, makamu wa rais daktari, nusu na spika awe daktari. Sasa tunapambana na Kenya. Rais daktari, makamu wa rais profesa na waziri mkuu nnnh! Tulia umetuangusha kwenye 'usomi.'
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zitto Kabwe: Ni Wakati Wetu wa Tiananmen, Kilio cha Tanzania cha Haki Katikati ya Mauaji ya Oktoba

    Wakati mauaji ya Tiananmen ya Juni 4, 1989, yalipokuwa yakitokea nchini China, nilikuwa Darasa la Sita katika Shule ya Msingi ya Kigoma. Sikuiona kwenye TV kama wengine kwa sababu hatukuwa na TV nyumbani. Nilisoma kuihusu baadaye sana, na nimesoma tena makala kuihusu katika siku 10 zilizopita...
  12. JamiiForums Tanzania Majukumu ya Waziri Mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu hayo na mengine ndiyo yanayotarajiwa kutekelezwa na Dkt. Mwigulu Nchemba aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi wa 2025 Tanzania imeng'ara kwenye magazeti kama nchi ya mauaji na isiyo na demokrasia

    Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya mawaziri wakuu wa Tanzania tangu mwaka 1961

    Hii ndiyo orodha ya Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Tanzania imekuwa na jumla ya Mawaziri Wakuu 12 hadi sasa, na hii leo, Novemba 13, 2025, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajiwa kupokea jina la Waziri Mkuu mpya, ambaye...
  15. JamiiForums Tanzania JamiiAfrica (Tanzania), IMS (Denmark) na Splice Media (Singapore) waja na “The Good Commons”

    Good Commons imejitolea kukusanya euro milioni 1.5 kusaidia jamii mbalimbali duniani ambazo zinaunda upya namna teknolojia inavyohudumia umma. Tofauti na kampuni kubwa za teknolojia na mifumo mikubwa ya akili bandia (AI) inayojengwa kwa misingi ya ufuatiliaji wa watumiaji na faida, jamii hizi...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 AFP: Tanzania politicians in shock as cabal takes over after massacre

    Nairobi (AFP) – Tanzanian politicians are in shock over the massacre of hundreds of young protesters during its recent election, insiders told AFP, but are too afraid to speak out as a tiny cabal of hardliners around the president takes control. Gruesome images of dead Tanzanians have flooded...
  17. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pastor Ng’ang’a awalaumu wabunge wa Kenya kwa kushindwa kuzungumzia vifo vilivyotokea nchini Tanzania

    Pastor Nganga kutoka Kenya amewata wabunge wa Kenya kuzungumzia kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 Tanzania akidai zaidi ya watu 3000 kuuliwa lakini wamegoma kulizungumzia hilo bungeni.
  18. JamiiForums Tanzania Nani atamfunga Paka Kengele?- Taswira ya hali ya kisiasa Tanzania

    Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali

    Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali Zambia , malawi, kenya wana haki na Amani Uganda, Rwanda na Burundi wana amani hawana haki Tanzania haina amani wala haki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…