tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. 6By6 Miguno

    JamiiForums Tanzania Kilichobadilika Tanzania kwa sasa

    Miaka michache nyuma tuliogopa sana kifo, Ni dhahiri kuna wenzangu na mimi ambao tulikuwa hatuna hata ujasiri wa kushuhudia maiti kwa macho. Uongozi huu umefanikiwa kutubadili kwenye roho, Kutoka uzuri hadi ubaya, woga hadi ujasiri. Nakiri kusema kwamba kufika hivi sasa tumekuwa majasiri sana...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania bado ni salama kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya matukio ya uchaguzi mkuu?

    AFCON 2027 Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Siri ilyiojificha nyuma ya nafasi ya Kenya katika kuchochea machafuko nchini Tanzania chini ya kishawishi cha kupigania demokrasia

    Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya kidemokrasia ya nchi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Mamilioni ya Watanzania...
  4. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The secret behind Kenya’s role in influencing unrest in Tanzania under the guise of fighting for democracy

    THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania MCh. Carlos R.W.Kirimbai: Ujumbe kwa Taifa la Tanzania juu ya athari ya damu isiyo na hatia inayomwagwa na binadamu wengine katika nchi yetu

    Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania; Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika. Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
  6. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mhaini mrembo! Ila, Tanzania imeshindikanika!!

    Binti Mhaini anashtakiwa kwa kutaka kupindua Serikali ya Samia, wameua ndugu zetu wanaleta kesi ili tuache kujadili mauaji tusiingie huo mkenge.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ajira Tanzania

    📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢 Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza. 🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana: 🗣 LUGHA ZA KIGENI ✅ English ✅ French ✅...
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hii nchi tunaiepeleka wapi? Mbona kama Tumepotea na Tunaendelea kupotea Hatma Tanzania ni hipi?

    Tanzania nchi yangu imekutwa na nini na hii nchi tunaiepeleka wapi? Baada ya uchaguzi huu na uchafuzi nilitegemea sasa ni mda wa kuombana msamaha na kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi Nilitegemea vijana wote waliokamatwa kuachiwa huru pamoja na yule binti Mdogo Niffer nakupewa onyo kali...
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania "Dhahabu ya kijani" ya Tanzania itakayooneshwa kwa mara ya kwanza katika maonesho ya uagizaji ya China kuleta matumaini na urafiki mkubwa

    Katika Mkoa wa Njombe uliopo kwenye nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Juliana Yotham Mwalyepelo mwenye umri wa miaka 38 anachunguza safu za miparachichi ambayo imestawi vizuri. Akiwa afisa mkuu mtendaji wa Kampuni ya Chrises Real Solutions, kila tunda kwake si kwamba analiona ni mavuno tu...
  12. Keynez

    JamiiForums Tanzania Haya mambo yalitokea kabla tu ya maandamano ya kihistoria Tanzania ya MO29

    Niliwahi kuleta uzi kuelezea mambo kadhaa yaliyofuatana kabla tu ya Mapinduzi (kama unaweza kuyaita hivyo) yaliyomtoa Robert Mugabe madarakani. Nia ni kuonyesha kwamba kulikuwa na "clues" kama ungekuwa na jicho la tatu la udadisi. Leo nitatoa list ya mambo kadhaa yaliyotokea kabla tu ya...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wa vifo vya watu wasio na hatia wakati wa maandamano nchini Tanzania

    Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Firstpost Africa: African Union exposes Tanzania ballot stuffing.

    Hahaaa hawa jamaa hawamwachii huyu Rais haramu. https://youtu.be/rWW8Nhw6LEY?si=hs4UM_4mV7Bo1E-v
  15. mwenye shamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naishauri Serikali na wananchi yafuatayo baada ya uchaguzi kumalizika

    Ndugu watanzania wenzangu, kwanza nitoe pole kwa watanzania wote kwa yale yaliyotokea. Nikiwa kama mtanzania nina haki ya kuishauri serikali yangu na wananchi wenzangu yafuatayo. (Neno langu sio sheria na siwezi kuwa sahihi kwa yote) 1. Serikali na chama cha mapinduzi (CCM) wajitafakari kwa...
  16. Kiranga

    JamiiForums Tanzania Muandikie Senator Jeanne Shaheen wa Marekani utawala wa Tanzania ubanwe na Marekani

    Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa Tanzania na watalii na kuiba kura, na hivyo baada ya wizi huu wa kura, na mauaji hayo, uhusiano wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania IMF, Benki ya Dunia na nchi wafadhili, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa serikali hii ya Tanzania?

    Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali? Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote...
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa Kenya wanaoishi Tanzania wahakikishiwa Usalama na kuhimizwa kufuata Sheria za nchi

    Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu Kupitia taarifa iliyotolewa Novemba 5, 2025, Ubalozi huo ulisema kuwa ustawi wa Wakenya walioko Tanzania unabaki kuwa kipaumbele...
  19. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets

    The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed Either Kenyans are being used knowingly or unknowingly. The Kenyan media is being used to spread a plan...
  20. w0rM

    JamiiForums Tanzania GE2025 AU: Uchaguzi Tanzania haukuendana na Kanuni, Mifumo ya Kimaadili ya AU, na wajibu na viwango vya kimataifa vya uchaguzi wa kidemokrasia

    Taarifa ya Awali ya Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Afrika kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Ujumbe wa Uangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Afrika unatoa wito wa kufanyika kwa mageuzi ya haraka ya kikatiba na siasa shirikishi katika Jamhuri ya...
Back
Top Bottom