tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

    By JF Reporter FORGET about Panama and Paradise Papers, now it is Mauritius Leaks, which have emerged to contain four - at least for now, Tanzania’s companies that have done businesses or operating huge transactions in the tiny Indian Ocean Island in Africa. Three months investigations have...
  2. J

    Je, unawakumbuka vinara wa Tume ya Katiba mpya? Ungependa tuwaombe watusaidie kufufua mchakato wa Katiba mpya?

    Nimeikumbuka kazi nzuri iliyofanywa na Tume ya katiba mpya aka Katiba ya Warioba. Kwa bahati mbaya bunge maalumu la katiba mpya lilishindwa kukamilisha mchakato huo kwa sababu ambazo hazieleweki sawa sawa. Najiuliza tu kama wale vinara wa ile tume ya Warioba bado wana moyo ule ule mkunjufu na...
  3. Hizi ndio nchi 10 pekee Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya Serikali.

    Habari za wakati wanajamvi, Leo nimekuja kwenu na orodha ya nchi 10 Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya serikali ya aina yoyote. Nchi nyingi za kiafrika baada ya uhuru ziliangukia katika wimbi kubwa la mapinduzi ya serikali zilizoachwa na wakoloni, kwa kipindi hicho sababu kuu za...
  4. Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link

    Jameni linki hii hapo kwa mabo hamuna Azam TV ..nasikia pia kumbe haitaonyeshwa Azam TV\ So link hii hapo chini kwa live streaming Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link
  5. Most powerful Military in Africa 2019 (Strongest And Best)

    Well, we know many of you world like to know the most powerful military in Africa right? And if you don’t know some countries are powerful than the others in Africa now you know. Below you will find ten countries that are most powerful in Africa, in the others words countries with the best...
  6. Mradi wa reli ya kisasa (SGR), mwamba wa changamoto za usafirishaji nchini

    MAY 27, 2019 HABARI, Na Paschal Dotto-MAELEZO Ni Takribani Miaka 120 ambapo historia iliandikwa, mwaka 1912, Serikali ya Kikoloni nchini iliamua kuimarisha sekta ya usafirishaji Kwa kujenga Reli, ambapo njia zake ziliunganisha Miji hasa maeneo ya kilimo, uzalishaji na kibiashara, reli kuu...
  7. Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls

    Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls Thursday May 23 2019 IN SUMMARY In 2013, Tanzania signed a framework agreement with China Merchants Holdings International to build the port and a special economic zone. But Tanzaia says the conditions given are not economically viable, hence it...
  8. Habari njema kwa Diaspora wa Tanzania, Wale ambao hawajajilipua, kuwekewa utaratibu, kupiga kura-Waziri Mkuu

    Wanabodi, Kuna habari njema kwa Diaspora wetu, wale Diaspora ambao wako ughaibuni na hawajajilipua, watawekewa utaratibu kuwawezesha kupiga kura. Hayo yamebainishwa leo Bungeni katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambao mbunge fulani za Zanzibar aliuliza ni lini wana...
  9. Bendera ya Taifa: Kwanini wananchi hawako huru kuibeba au kuitumia?

    Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani? Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea' kama tulivyozoea kupatamka: Bendera ya Tanzania, Ndio ya kujivunia, Ilianza kupepea, Mwaka sitini na...
  10. Mkurugenzi TPA: Mkataba wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeifilisi Tanzania

    Bandari ya Bagamoyo ingefilisi, kuuza nchi Sunday May 19 2019 Kwa ufupi Pamoja na kusamehewa kodi na ushuru mbalimbali kama zile za lazima kisheria, kulipwa fidia ya hasara ya kibiashara watakayopata kwa mujibu wa mahesabu yao, mwekezaji pia aliweka sharti la kuachiwa ajipangie bei ya kuwatoza...
  11. Education need an update similar to operating systems.

    Education seriously needs an update, It still teaches us the things that have already been made easier to do. It feeds in information instead of bringing out ideas. Creative education is almost gone, nobody talks about creativity and innovation. If a doctor gives the patient of cholera, the...
  12. Zijue faida za mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipindi cha ujenzi na mara baada ya ujenzi kukamilika

    Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ni Dhahiri na lazima kwa taifa kuwa na miundombinu imara. Ujenzi wa reli ni nguzo kubwa katika kuchochea na kupunguza gharama na muda wa safari kwa abiria na mizigo. Mataifa yenye nguvu duniani yamejengwa na...
  13. C

    Tanzania yasitisha ujenzi wa bandari kubwa Africa, Bagamoyo Port

    Niamnini nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu, we do have leaders with no creative ====== Tanzania Pushes Back on Chinese Port Project China’s Maritime Silk Road ambitions suffered a setback after Tanzanian officials refused to budge over stalled negotiations to build what would be the...
  14. China na Tanzania zashindwa kuafikiana kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Ujenzi wakwama

    Serikali imesitisha mazungumzo na wawekezaji katika Bandari ya Bagamoyo, Mradi ambao ungegharimu Tsh. Trillion 23. Wawekezaji katika mradi huo walikuwa ni China Merchant Holdings International Limited (CMHI) na State General Reserve Fund (SFRF) ya Oman. ====== The government admitted yesterday...
  15. Uber kenya

    Ni pesa gapi ambayo ni mrejesho wa madera kwa ma boss zao huko Kenya
  16. Tanzania govt admits, no progress on Bagamoyo port project

    Dodoma. The government admitted yesterday that it has not made progress with the implementation of Bagamoyo port project because of failing to reach an agreement with Oman and China, who are the project implementing partners. In November, 2017, Oman’s State General Reserve Fund (SGRF) announced...
  17. Tanzania USA Diaspora's Fundraising Appeal for Mr. Tundu Lissu

    FUNDRAISING APPEAL FOR MR. TUNDU LISSU This is an appeal to help meet the medical expenses and living costs for Hon. Tundu Antiphas Lissu and his family. A prominent opposition politician and member of the Tanzanian Parliament, The Chief Whip for Tanzania main opposition, and former...
  18. Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
  19. Bongo hakuna malipo bila malalamiko!

    Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko. Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
  20. Is Tanzania discarding Nyerere’s freedom-fighting legacy?

    Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere. Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”. In November 2018, representatives of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…