tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Leo katika Historia Tanzania

    Leo Aprili 2,2021imetimia miaka minne tangu samaki aanze kupimwa kwa kutumia rula nchini Tanzania
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma. Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa? Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya

    Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini. Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji. Serikali lione hili. SAUTI YA WATANZANIA
  7. JamiiForums Tanzania Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri

    Wanabodi, Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya. Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM. Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    Basi leo ngoja nikueleze habari ya kufurahisha kuhusu nyoka huyu, kwanza ni miongoni mwa viumbe ambao wamesaidia lugha ya kiswahili kukua, kwa waliosoma kiswahili wanaweza kufahamu vyema kuwa miongoni mwa mambo ambayo husaidia kukua kwa lugha ni pamoja na lugha kukopa maneno, misimu pia...
  9. JamiiForums Tanzania PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado inahitaji Rais kama Hayati Dkt. Magufuli

    Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen. Hayupo. Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake. Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya maajabu, 70% na zaidi inategemea kilimo na haina kiwanda cha mbolea,mbegu wala kutengeneza trekta

    Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha; ~Mbolea ~Mbegu ~Utengenezaji matrekta. Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi. Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao. Nchi imejaa UZEMBE SANA. 80% ya zao...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Africovid International Tanzania ni wakina hawa?

    Jamani kuna hawa jamaa wanaitwa Africovid International Tanzania, nimeona wametangaza nafasi za kazi mbalimbali kama 87, humu ndani kuna anayewafahamu, na hili tangazo mbona kama utapeli upo nje kwa nje! Msaada tutani.
  13. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa Nchi ya Ufini unavyolifanya Taifa hilo kuwa bora katika elimu Duniani; Tanzania inajifunza nini?

    Nchi ya Ufini (Finland) ni Nchi mojawapo kati ya Nchi zilizopo upande wa Kaskazini wa Ulaya inapakana na Sweden Norway na Russia. Nchi hii ina ukubwa wa kilomita a mraba 338,455 km². Inakadiriwa uwa na idadi ya watu milioni tano na laki tano (5.5 mill). Mji wake Mkuu unaitwa Finish Nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Ushindani wa muziki kutoka Tanzania

    MUSICIANS ACROSS AFRICA / WAIMBA MIZIKI BARANI AFRIKA. Tamasha la ushindani wa muziki litajumuisha nchi zaidi ya 13 barani Afrika tukianza na TANZANIA. Hivyo tunaomba wanamuziki kujisajili mapema kabla ya kesho tarehe 31/03/2021. Tafadhali jisajili kwa kubofya linki hii REGISTRANTS...
  15. JamiiForums Tanzania Musicians in Tanzania

    MUSICIANS ACROSS AFRICA / WAIMBA MIZIKI BARANI AFRIKA. Tamasha la ushindani wa muziki litajumuisha nchi zaidi ya 13 barani Afrika tukianza na TANZANIA. Hivyo tunaomba wanamuziki kujisajili mapema kabla ya kesho tarehe 31/03/2021. Tafadhali jisajili kwa kubofya linki hii REGISTRANTS...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanza kukata tamaa na Tanzania tunayofikirishwa. Je, wewe?

    Kwa kweli hali tunavyofikirishwa na majilabu ya Chama tawala kuwa wataiboresha Tanzania kuwa ya aina yake! Nashangaa sana tunaaminishwa tupo kimaendelea tupo uchumi wa kati na jana juzi tunaanza kuaminishwa kuendea uchumi nambari moja, nikazidi kushangaa na kuwachwa kwenye mataa. Nina wasi na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu kama mtu ni mara yako ya kwanza kuingia katika kilimo hukopesheki kwenye taasisi za fedha

    Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii; Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya: ~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako ~ Uwe na hati ya umiliki/kukodi mashamba ~ Uwe unalima mazao biashara Kwa anaeanza kilimo hapa anakwama maana hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi awataka Mabalozi kujipanga na kutafuta fursa za masoko ya bidhaa za Tanzania

    Mabalozi wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya Nchi wameelekezwa kujipanga, kushiriki na kutafuta fursa zitakazowezesha bidhaa mbalimbali za Tanzania kupata masoko ya uhakika katika nchi walizopo. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  20. JamiiForums Tanzania Powertiller (kubota) trekta ya matairi mawili iliyokuja kufanya mapinduzi ya kilimo cha mpunga Tanzania

    POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi. Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati. Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…