tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumsaidia Rais Samia katika kuirudisha Tanzania katika Misingi ya Haki

    Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kutunga Sera ya Diaspora kabla mwaka kuisha

    WAZIRI wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula amesema kabla ya mwaka huu kuisha Sera ya Nje inayojumuisha Sera ya Diaspora itakuwa tayari na hiyo ni kwa kutambua uhimu wa diaspora katika kuchangia maendeleo na masuala ya diaspora yanapewa kipaumbele. Ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuwa Boss Mashirika ya Umma Tanzania

    Mwaka 2016 nilienda Tanzania baada ya kukaa muda mrefu US. Rafiki yangu ambaye nilisoma naye Primary alikuwa ndiyo auditor mkubwa pale MSD hivyo bila mimi kujua aliongea na Managing Director kuhusu kupata watu wenye ujuzi na kampuni za kusambaza madawa kama MSD Wakati na maongezi yao yule...
  4. JamiiForums Tanzania Nani mwanzilishi wa mtaala wa elimu yetu?

    Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini matarajio hakuna anayeweza elezea zaidi ya baada ya kumaliza ntaajiriwa. Nimwaza sana juu ya elimu...
  5. JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

    Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
  6. JamiiForums Tanzania Mfumo imara huhitaji watu imara. Tanzania tuna watu wavivu walalamishi, waongo na walafi

    Tusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao? Mfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au...
  7. JamiiForums Tanzania Hati ya Kusafiria ya Tanzania (Passport) ina nguvu gani?

    Habarini wakuu, Naomba mtutoe tongo tongo hapa. Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani Tanzania imepata tangu ianzishe uhusiano wa kidiplomasia na Israel?

    Wakati kukiwa na suala la kuanzisha uhusiano na taifa la Israel, wengi walitoa maoni kwamba msimamo wa kiitikadi wa Tanzania ni kutoshirikiana na mataifa ambayo yanakandamiza jamii fulani ya watu na kukiuka haki zao za binadamu. Na hata tulisema kiitikadi tunaunga mkono jitihada za Wapalestina...
  9. JamiiForums Tanzania Public Relations Officer (entry level) – 2 Posts at Bank of Tanzania (BOT)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES. The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank, is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at the Head Office, Dodoma, Sub Head Offices in Dar es Salaam...
  10. JamiiForums Tanzania 6 New Job Opportunities At Ifakara Health Institute, June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click on each job position below to read more details and apply: 1. Intern- ICT- (1 POST) 2. Laboratory Technician- (1 POST) 3. Field Interviewers- (3 POST) 4. Research Scientist- (1 POST) IHI is an equal opportunity employer. We prohibit intentional biases or discrimination and...
  11. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuendelea kuilaumu Kenya na Mabeberu kwa matatizo binafsi ya Tanzania: 'We are paying the price of our own Wrongdoings!'

    Wasalauumu wakuu!! Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila itabidi niuweke kwasababu kuna mambo ambayo yapo relevant sana. Imekuwa ni kawaida sana hapa jamvini...
  12. JamiiForums Tanzania Rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma Tanzania hautakoma mpaka pale Serikali itakapoamua rasmi nchi hii iendeshwe Kijamaa

    Habari waungwana! Kwa mujibu wa katiba yetu Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ukisoma sura ya kwanza utaliona hili. Ila misingi ya ujamaa ni kuwa mbali na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma jambo ambalo tuko kinyume nalo. Wizi upo Ufisadi upo Rushwa ipo na Unyonyaji upo. Unyonyaji ndio baba wa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tuna waandishi wachunguzi na wachambuzi huru?

    Nimekuwa nikifuatilia ishu zinazoibuliwa mara nyingi labda na top leaders ndio inakuwa mijadala rasmi ya media. Mfano: leo gazeti la uhuru linazungumzia rushwa pale kariakoo, kuna gazeti moja nalo linazungumzia kuhusu aliyekua DC Hai. Yote ni baada ya viongozi kuibua taarifa wao ndio wanapatia...
  14. JamiiForums Tanzania 80 New Job Opportunities At Bank Of Tanzania (BOT), June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE: BANK OF TANZANIA (BOT) JOBS PDF FILE
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani Rais Samia kwa kuruhusu bidhaa za Kenya. Chuki haijengi; tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa uongozi wako

    Ama kwa hakika huyu mama atakua suluhu. Najua hizi habari zitwatibua nyongo wale hupenda kuendekeza chuki lakini ndio hivyo. Tupige biashara na kuboresha chumi zetu. ======== Kenya President Uhuru Kenyatta (right) and his Tanzania counterpart President Samia Suluhu Hassan having a word during...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania, lisaidieni Taifa kuhusu Yusuf Manji. Ni raia wa Tanzania au Marekani?

    Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

    Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZANIA - KENYA Relationship: Economic Diplomacy To Strengthen Bilateral Trade

    TANZANIA - KENYA RELATIONSHIP: ECONOMIC DIPLOMACY TO STRENGTHEN BILATERAL TRADE Tanzania and Kenya, two East African nations with indistinguishable ecological environment, cultural and historical background, are measured blossoming in their bilateral relations. Our two countries have unique...
  19. JamiiForums Tanzania Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tanzania?

    Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tz. Njooni hapa mtoe uzoefu vijana wajifunze kutoka kwenu.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji arejea Tanzania

    Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…