tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Maoni: Namna sahihi katika kupambana na majanga ya mara kwa mara ya MOTO nchini Tanzania

    MAJANGA YA MOTO Asalaam aleikyum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo wadau wa JF, ahsanteni wadau, jukwaa na uongozi wa Jamii Forum nimeona nilete mjadala huu mbele yenu kwakuwa ndio tatizo kubwa linaloikumba hii nchi na kuleta madhara makubwa kimaendeleo, katika nyanja zote ikiwemo afya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi, Madaktari na Mahakama wanavyoshughulikia kesi za kubaka watoto ni wazi Tanzania ni 'banana republic'. Inasikitisha, inatia hasira na aibu

    Hebu fikiria. Mtoto wako wa miaka sita anatoka shule. Akiwa njiani mjinga fulani mwenye akili mbaya kuliko mnyama anamkamata na kumvutia porini, kisha anambaka na kumuumiza sana. Mtoto huyu wa miaka sita analia kwa maumivu, lakini mbakazi anamziba mdomo na kumtishia kumuua ikiwa ataendelea...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 6 za kukuza uchumi wa Tanzania

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu za kila siku ili aweze kukidhi mahitaji yake. Baadhi ya shughuli hizo ni kilimo, biashara, uzalishaji(viwanda). Tanzania ni moja ya nchi iliyo ingia uchumi wa kati duniani lakini si sawa kuishia hapo lazima tuendele kupambania ili kufikia malengo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali ndio Ukombozi wa Maskini katika Jamii nchini Tanzania

  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Vichocheo vya ukuaji wa Uchumi wa Tanzania yetu

    Uchumi hupimwa kwa ongezeko la Pato la ndani la nchi ambalo nchi inakuwa umepata kwa mwaka mmoja. Kuna sababu nyingi zinazopelekea ongezeko Hilo. Kwenye nchi nyingi hupimwa pia kwa jinsi gani watumiaji wa bidhaa wananunua na uwekezaji wa bidhaa. Kama mtumiaji anauwezo wa kununua mahitaji yake...
  6. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka: BASATA waingilia kati sakata la Miss Tanzania aliyevuliwa taji

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaita Kamati ya Miss Tanzania pamoja na na Miss Tanzania 2020/21 ambaye amevuliwa taji hilo, Rose Manfere. Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Katiba Mtendaji wa Basata, Matiko Mniko, iliyotolewa leo Jumatano Julai 14, 2021 Kamati pamoja na mrembo huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kuna siri gani kati ya siasa na matajiri wa Tanzania?

    Habari za kushinda wakuu, Je, ushawahi waza kati ya siasa na utajiri? Na kwa nini matajiri wengi wa Tanzania wanaingia katika siasa. Asilimia kubwa ya Matajiri wakubwa Tanzania washawahi kuingia kwenye siasa au wapo tayari kwenye siasa. Je, kunanini kwenye siasa? Licha ya hayo yote matajiri si...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zabadilishana wafungwa, kila mtu akafungiwe kwao. Tunaendelea vizuri ila sijui kama Watanzania wanamsoma Rais Samia

    Mpaka hapo shughuli inakwenda vizuri, uhusiano unazidi kuboreka, mama kaonyesha mfano mwema badala ya kulia lia kuhusu Kenya na Wakenya, atafute namna ya kuwekana sawa. Japo namuelewa, yeye ana asili ya Zanzibar, Wazenji na Wakenya hatujawahi kuzinguana, hutupokea vizuri kwenye visiwa vyao vile...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Tanzania ya Karne ya 21: Mawanda mapana ya Kifikra

    Yapata miongo mingi tanguTanzania ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Mwingereza. Imepita mihula mingi ya uongozi, tangu Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere hadi kufikia utawala wa sasa wa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Awamu ambayo sote tunajivunia kuwa na Tanzania yenye "Uchumi wa...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Kuboresha kijiji kimoja nchini kuwa na Makazi bora na mfano wa Tanzania ya siku zijazo

    Ninaamini nyumba bora huboresha afya ya mwili na akili. Mahitaji ya msingi ya binadamu ni hewa safi na kuishi sehemu isiyosababisha maradhi mfano baridi na unyevu unyevu. Nyumba bora huleta fahari kwa mwenye nyumba hata kukaribisha wageni na humjengea heshima katika jamii. Watanzania wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Miss Tanzania avuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss World kutokana na utovu wa Nidhamu

    Miss Tanzania 2020-2021 Rosey Manfere hajatangazwa kwenda kushiriki Miss World 2021 na badala yake ametangazwa mshindi wa pili Juliana Lugumisa kutokana na utovu wa nidhamu kati ya Miss Tanzania Rosey na waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania. =====
  12. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tutegemee lockdown tena?

    Je, Tanzania Tutegemee Lockdown Tena? Katika wimbi la tatu la CORONA Tanzani itakua chini ya Vizuizi vya kutoka nje? Hapo jibu ni hapana kwa mjibu wa majibu ya Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema kwamba Tanzania tusitegemee tena kuwepo kwa lockdown ( Vizuizi). Hii ni kwasababu Nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina kitu cha kujifunza kinachotokea kuhusu Rais Mstaafu Zuma nchini Afrika Afrika

    Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA. Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania National treatment policy ya Covid 19 kwa Tanzania ni ipi?

    Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kila hospitali inatibu Covid 19 kadri inavyoona inafàa. Hakuna mwongozo maalumu wa kitaifa kutoka mamlaka husika. Nasema hivyo kwa sababu nimeuguza wagonjwa kadhaa including me katika hospitali tofauti tofauti na kushuhudia kila hospitali inatoa dawa kadri...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani. Chanzo: ITV habari Nawasalimu kwa jina la JMT!
  17. JamiiForums Tanzania Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

    Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida. Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi. Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Timu ya Riadha ya Tanzania yafuzu kupeperusha bendera Olimpiki

    Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika mwezi Agosti Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania imekabidhiwa bendera ya Taifa, tayari kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nikijibiwa kitaaluma na kuelimishwa vyema juu ya hili swali langu nitaondoa wasiwasi juu ya elimu ya Tanzania na matokeo ya mitihani

    Swali... Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi (Future Intellectuals) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi...
  20. JamiiForums Tanzania Upi Mustakabali wa ACT-Wazalendo Kwenye Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania? =========== Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…