tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wanasiasa Tanzania wanapata ugumu wa kufanya siasa bila uadui

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi. Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu. Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

    Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya pili Afrika kwa Usalama wa Ulinzi wa Kidigitali

    GLOBAL CYBERSECURITY INDEX 2020 The Global Cybersecurity Index (GCI) is a trusted reference that measures the commitment of countries to cybersecurity at a global level – to raise awareness of the importance and different dimensions of the issue. As cybersecurity has a broad field of...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

    Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
  5. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“ Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba mpya alitoa matamshi yasiyokuwa na staha yenye kuleta ukakasi na kichefuchefu kwa kila anayeyasikia...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kutoboa kibiashara kwasababu ya mrundikano wa kodi

    Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane na wakati wa Kati mazao yangu niyaongezee thamani. Lengo likiwa kuanzisha mashine ya kukoboa...
  7. MenukaJr

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

    Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo! Kwa ajili ya kumbukumbu, nimekusudia...
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Safari toka Tanzania kwenda China kwa mwezi huu Julai zipo?

    Habari wakuu, Nina ndugu anahitaji kwenda china kuangalia mazingira ya biashara,kutokana na hali ya Covid19, je safari zipo toka Tanzania kwenda China? Naamini JF ina member wa kada zote. Shukrani Simu 0713-039 875
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tume Huru itairejesha Tanzania mikononi mwa wananchi

    Tume huru ndio kila kitu. Itajenga Tanzania imara na itakayo ogopeka na kila mtu. Tanzania itarudi mikononi mwa wananchi. Uchaguzi ufanywe tume huru ndio iwe inaamua, kura itakua adhabu kwa viongozi wanaofanya Tanzania ni mali yao. Wabunge wasio na sifa wote wataenguliwa kwenye sanduku.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zatimiza miaka 60 ya kushirikiana

    Serikali ya Tanzania imeahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Marekani katika nyanja mbalimbali za maendeleo kama ilivyokuwa katika kipindi miaka 60 iliyopita. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema ushirikiano baina ya mataifa hayo ni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Huku Afrika Tanzania tuna ujinga mwingi sana, Hatujui kupokea ukweli ili tupambane

    Nimejaribu sana kutafakari huu ujinga utaisha lini, lakini sioni hata dalili yaani!! Katika jamii yetu hasa afrika Tanzania hatupendi kabisa kukubali ukweli! Mwenzetu akifanikiwa kipesa (hatukubali moja kwa moja), Kauli zetu nyingi midomoni utasikia " Yule jamaa kama siyo Freemasonry basi...
  12. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ndege ya jeshi la USA imekuja Tanzania kufanya nini.?

    Inasikitisha sana wakuu
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

    Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
  14. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuvielewa vyama vya siasa vya upinzani Tanzania?

    Moja ya vitu vya kustaajabisha hapa nchini,ni namna vyama vya upinzani vinavyoshindwa kula na kipofu na chama tawala na serikali pia Watanzania tunajijua na rahisi sana kutekwa kisiasa ni mbinu tu za mtekaji akijipanga vizuri,yaani wapinzani wanashindwa kutumia mbinu hizi kwa serikali na chama...
  15. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu akitoa 'central theme' ya kitabu chake na sababu za kufanyia uzinduzi wake Kenya badala ya Tanzania

    Harakati za kisiasa za Tundu A. M. Lissu sasa ziko kwenye maandishi. Kitabu chake "REMAINING IN THE SHADOWS: PARLIAMENTS AND ACCOUNTABILITY IN EAST AFRICA" kinachambua historia (history), mapungufu (weaknesses) na mazuri (strengths) ya mabunge ya nchi zote mama za Afrika Mashariki i.e Kenya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania ni mwajiri au mwajiriwa?

    Ni vigumu kutambua nafasi ya Rais wa Tanzania hasa katima hoja aidha ni mwajiri wa wananchi au ni mwajiriwa wa wananchi. Marais waliopita wametengeneza dhana kwamba wao ni waajiri wa wananchi huku wanapokuwa kwenye Mikutano ya adhara wakihubiri kwamba wao ni waajiriwa. Rais wa Tanzania...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Olimpiki: Tanzania kupeleka wanariadha 3 tu?

    Aiseee sijui kama tuko sawa au kuna shida sehemu. Nilisikitisjwa sana juzi kusikia kwamba Tanzania itapeleka wanariadha watatu pekee kule Tokyo Japan. Hii ni ajabu sana na sijajua tunakwama wapi sisi. Kadri miaka inavyo songa mbele ndivyo tunavyo kosa u seriouse, na tunavyo endelea huenda...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini mganga wa Hospitali Mwananyamala alimwingiza Rais chumba cha wenye Covid-19 bila kumfahamisha kabla?

    Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia au kutoingia wodi ile. Rais ameonekana hadharani kushitushwa kwa kujikuta katikati ya wagonjwa wa...
  19. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Towards digital economy: How is Tanzania fairing with the related 12 principles?

    Dk Zainab Chaula, Katibu Mkuu Wizara ya Teknolojia, Habari na Mawasiliano Digital economy entails the following 12 themes: Knowledge, Digitization, Virtualization, Molecularization, Integration/Internetworking, Disintermediation, Convergence, Innovation, Prosumption, Immediacy, Globalization...
  20. smarte_r

    JamiiForums Tanzania 'Street codes' za kukusaidia uishi vizuri na watu mtaani kwako katika mji wowote Tanzania

    Vipo vitu ambavyo hufundishwi popote. inatakiwa utumie akili yako ya kawaida kujiongeza ili uweze ku-survive Leo nawaletea codes za kitaa ambazo kama ukizifata zitakusaidia uishi vizuri na watu wa mtaani kwako katika mji wowote hapa tanzania. 1. Jizoeshe kusalimiana na watu wa mtaani...
Back
Top Bottom