tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Huduma hii imeshafika Tanzania?

    INTERNET. Starlink is now delivering initial beta service both domestically and internationally, and will continue expansion to near global coverage of the populated world in 2021. During beta, users can expect to see data speeds vary from 50Mb/s to 150Mb/s and latency from 20ms to 40ms in most...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania shuts down donkey abattoir

    Tanzania shuts down donkey abattoir SATURDAY AUGUST 28 2021 A donkey slaughterhouse in Kenya. The Shinyanga plant is one of two donkey slaughterhouses established by Chinese investors in Tanzania. PHOTO | FILE | NMG Summary The letter added that the company had yet to establish donkey...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

    Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za Marekani, Uingereza na Sweden Mahakamani. Kesho Jumanne 31 Agosti, 2021 Kesi ya Ugaidi. Naibu...
  4. JamiiForums Tanzania KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

    Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry. Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia. Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hali ya Shule maalumu za viziwi zilizopo nchini Tanzania

    Ripoti ya utafiti wa Hali ya Maisha ya Vijana Viziwi Tanzania uliofanywa na Mwanafunzi wa Sayansi ya Jamii Monica Har kutoka Loma Linda University (2011) ilionyesha changamoto wanazokumbana nazo viziwi kwenye kupata elimu Tanzania. Malengo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa (UN) unazitaka nchi kuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania. Karibu uweke comment yako.
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama ya haki ya Afrika: Wagombea huru ruksa nchini Tanzania

    Ile kesi ya mda mrefu ilieanzishwa na Mchungaji Mtikila imepatiwa ufumbuzi na Sasa serikali ya Tanzania inatakiwa iruhusu Wagombea huru kwenye chaguzi zetu ikiwemo wa uraisi === Baada ya Mahakama ya Rufani mwaka 2009 kutengua uamuzi wa Mahakama Kuu uliotamka kuwa wagombea binafsi wana haki ya...
  8. JamiiForums Tanzania Miaka mitano ijayo 'betting' itaigharimu Tanzania kama taifa

    Najivunia kuzaliwa kabla ya mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi/mitandao ya kijamii kwa ujumla. FACTS • 70% of Tanzania population ni vijana under 24yrs. • Nguvu kazi ya taifa ni vijana (40m) • Ukosefu wa ajira bado upo • Over 40m people use mobile phone • Kila kijana anataka mafanikio...
  9. JamiiForums Tanzania Hamasa naTafsiri ya Ugaida wa Hamza dhidi ya Polisi wa Tanzania

    Nakumbuka kesi ya Zombe et al. Polisi walifanya dhulma,wakajribu kujificha lakini bado walishindwa. Naangalia Clip za Hamza,Naangalia askari polisi waliouwawa najiuliza nini maana ya ugaidi?Nakumbuka ilimu ya ugaidi nilopewa miaka mingi nyuma.UGAIDI ni MATOKEO ya KUSHINDWA kwa MFUMO wa...
  10. JamiiForums Tanzania Maajabu 7 ya Afrika kama yalivyopigiwa kura mwaka 2013

    Maajabu 7 ya Afrika kwenye mpangilio wake kama jinsi yalivyopigiwa kura mwaka 2013. 1. Bahari nyekundu -Misri, Eritrea, na Sudan. 2. Mlima Kilimanjaro -Tanzania. 3. Jangwa la sahara- Algeria, Chad, Misri, Libya , Mali, Mauritania, Morocco, Niger, Sudan, Tunisia. 4. Kuhama hama kwa wanyama...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

    Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha. Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba...
  12. JamiiForums Tanzania MADA FIKIRISHI: Ingekuwa vipi kina Ertugrul wangezaliwa Tanzania?

    Angalia tamthilia za kituruki za Azam TV; tangu Sultan, Wounded Love na hata sasa Ertugrul utagundua kitu kimoja tu. Kwamba tamthilia hizi ni simulizi za historia ya nchi yao ya Uturuki. Kihistoria Uturuki ilikuwa sehemu ya himaya kubwa ya Ottoman ambayo ilianza mnamo karne ya 13. Himaya hii...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Is President Samia rebranding or debranding Tanzania?

    When addressing the editors at the state house president SSH expressed her dreams of re-branding Tanzania. "Tanzania must be rebranded so as to polish it's tainted mage to the international community and thus attract more investors" she said. But it seems her dreams will continue to be a...
  14. JamiiForums Tanzania Wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani ni Kenya na Afrika Kusini

    JE WAJUA? Ingawa madini ya Tanzanite hupatikana Tanzania pekee dunia nzima lakini hadi kufikia 2015 wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani walikuwa ni nchi ya Kenya🇰🇪 ikifuatiwa na nchi ya Afrika Kusini🇿🇦. - Kufikia 2021 Tanzania🇹🇿 ni nchi inayoongoza duniani kwa uuzaji wa Tanzanite huku pato...
  15. JamiiForums Tanzania Miezi mitano bila Dkt. Magufuli: Chanjo ya Marekani na Uingereza inavyoathiri soko la Tanzania

    MIEZI MITANO BILA JPM:CHANJO YA MAREKANI NA UINGEREZA INAVYOATHIRI SOKO LA TANZANIA. Leo 14:30hrs 28/08/2021 Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75% zinatoka China,hivi sasa nchi hizo majirani zinaelekea Afrika ya Kusini kufuata bidhaa mpya ili...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Denmark kufunga balozi zisizokuwa na tija kwao, Tanzania ni mojawapo

    Kwa wataalam wa haya madude ina maana Tanzania kwenye mambo ya kidiplomasia imefika kiasi cha kutemwa na mataifa ya maana kama Denmark, hii ina maana Watz watakua wanakuja Nairobi au Kampala, Uganda kwa huduma zozote zinazohusu ubalozi wa Denmark. Mama Suluhu ana kazi kwa kweli, yaani mpaka...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

    Denmark itafunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati ikibadilisha mfumo wake wa mashirikiano ili kutekeleza vipaumbele vya serikali. Nchi hiyo imesema kujipanga upya kutachangia utekelezaji wa mkakati wake mpya wa maendeleo na ushirikiano. Waziri wa Mambo ya nje Jeppe Kofod alisema Upangaji huu...
  19. JamiiForums Tanzania Hata kutokee nini, sirudi kuweka makazi yangu Tanzania

    Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania. Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila...
  20. JamiiForums Tanzania Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

    Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani zisigongane Angani .Wanawake wanaweza Huyu akija Tanzania Traffic waongoza magari Wanaume lazima wakimbie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…