tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Hii kitu inayoitwa CROWD FARMING, Tanzania nani wanafanya??.

    Rejea video.
  2. JamiiForums Tanzania Yataka moyo kuwa mchezaji wa mpira wa miguu Tanzania

    Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana. Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh! Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh! Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
  3. JamiiForums Tanzania CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

    Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa kama Zimbabwe kukataa kusign hii UN convention against torture ni jambo la kusikitisha na kushangaza sana

    WHY HASN’T ZIMBABWE ADOPTED THE UN CONVENTION AGAINST TORTURE? – CONSTITUTION WATCH 6 / 2019 By Veritas28 June 2019Analysis and Comment, Democracy, Human Rights, Legislation 2 Introduction 26th June was the International Day in Support of Torture Victims. Yet another 26th June has come and...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa Tanzania - ALAT

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia suluhu hassan akishiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa tanzania - ALAT katika ukumbi wa Jakaya Kikwete convention center jijini Dodoma, tarehe 27 Septemba, 2021. Kuwa nami kukujuza yanayojiri...
  7. JamiiForums Tanzania Technological Changes in Tanzania

    TECHNOLOGICAL CHANGES IN TANZANIA 1.0 Introduction Technological changes main aim is to have a positive impact towards the society, this means that it has more advantages rather than drawbacks, but achieving this in the developing countries has been difficult due to one reason or another, even...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zinazidi kupunguza vikwazo vya biashara baina ya nchi hizi mbili

    Baada ya Rais Uhuru na Samia kutoa agizo kwamba mazungumzo yafanyike ili kuondoa vikwazo vya kibiashara, juzi wakuu wa serikali hizi mbili walifanya kikao cha siku tatu huko Mombasa na kukubaliana kuondoa vikwazo 12 zaidi. Sasa vikwazo 18 pekee ndio vimesalia na vitaondolewa kabla ya mwaka huu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza kulazimisha watu kuchanja chanjo za COVID-19?

    Inavyoonekana serikali ya Tanzania imeanza kulazimisha wananchi kuchanja chanjo za Covid bila ridhaa zao. Tumeona mkuu wa mkoa wa Mbeya akitoa kauli za kulazimisha watu huko Mbeya kuchanja ikiwemo wafungwa Sasa kuna kauli tena ya serikali ikiagiza wakurugenzi watendji wa Taasisi za serikali...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za utendaji wa mtaa/vijiji, ni kweli Tanzania inathamini elimu?

    Nimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi hiyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya Ilemela wanahitaji astashahada tu Naona kusoma sana sasa hakuna maana Tanzania enzi za mwl Nyerere alithamini sana wasomi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hospitali zinazotoa Chanjo ya Pfizer au Mordena

    Habari ya majukumu wapendwa. Ninaomba kujua kama kuna hospital inayotoa chanjo ya Pfizer au Mordena kwa Tanzania hapa.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COvID19 inaweza isiwe na ubora kwa uhifadhi hafifu.

    Ubora wa chanjo unaendana na kufuatilia taratibu za uhifadhi. Kama chanjo imeelekezwa kutumika kwa kipindi flani lazima iwe hivyo, Kama imeelekezwa kutunzwa kwenye joto la ngazi flan lazima iwe hivyo na Kama imeelekezwa kuwekwa kwenye ubaridi pia inabidi iwe hivyo. Kampeni inayoendeshwa Mikoani...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27/09/2021

    Masaa machache baada ya Rais Samia kuhutubia UN Gen Assembly huko New York Marekani na kurejea nchini || Sasa rasmi Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27|28|09|2021. ____________________________________________ Makamu wa Rais wa benki ya dunia anayeshughulikia Ukanda huu wa Mashariki...
  15. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya kusema wa Tanzania tuthamini vya kwetu!? Ni vya kwetu Vipi hivyo tunavopaswa kuvithamini?

    Ukiangalia kila kitu tumeiga kutoka ulaya Sasa kuthamini vya kwetu inatoka wapi jamani? Tujitume katika kazi watanzania wenzangu vya kwetu vishapita vimebaki vya mungu na mzungu hii kauli ya kuthamini vya kwetu ni kukosa kazi ya kufanya na kuashiria uvivu.
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania hata kama tungekuwa na dhahabu kila mtaa bado umaskini ungekuwepo

    Habari za asubuhi waungwana! Nimeamka salama nimekutana na habari moja ya ugunduzi wa madini katika Kijiji fulani huko Mtwara a.k.a Ntwala. Nikajisemea moyoni kuwa bado hayataleta impact kwa taifa ingawa wananchi wachache watanufaika kwa kupata vibarua huko. Nimebahatika kufanya kazi kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeamini Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo

    Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa wachezaji, makocha, na wadhamini wa timu. Wanagombanisha wachezaji kwa wachezaji, wachezaji na makocha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania au CHADEMA wana hatimiliki

    Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha Democrasia na Maendeleo Chadema kina baka hadi ukuu wakati kina mbunge 1 wa kuchaguliwa. Nini tafsiri...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyoyazungumza Rais Samia baada ya kuwasili nchini akitokea New York - Marekani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na watanzania wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini baraka zinamiminika Zambia na siyo Tanzania

    Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheshimisha Duniani? Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…